Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dar es Salaam (sasa Masjala Ndogo), imejizuia kuamua kama ni halali au si halali kwa Chama cha Mapin duzi (CCM) kuwahusisha watoto wanaojulikana kama Chipukizi katika shughuli za kisiasa.
Badala yake, Mahakama hiyo katika hukumu yake iliyotolewa na Jaji Angelo Rumisha imesema suala hilo liko katika mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ndiye anapaswa kuomb wa kwanza kuyashughulikia.
Uamuzi huo unatokana na shauri lililofunguliwa na mwa naharakati anayejitambulisha kuwa mtetezi wa haki za watoto na za binadamu kwa jumla, Kum busho Dawson Kagine, dhidi ya Baraza la Wadhamini wa CCM, Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).
Katika shauri hilo la maom bi mchanganyiko namba 1222/2024, Kagine alikuwa ana hoji hatua ya CCM kuwahusi sha watoto katika shughuli za kisiasa, akidai ni ukiukwaji wa Katiba, sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania ni mwanachama.
Pia alihoji vitendo cha Msajili wa Vyama vya Siasa na AG kush indwa kutekeleza wajibu wao wa usimamizi kwa kuruhusu ukiuk waji uliofanywa na Wadhami ni wa CCM bila kuhoji kinyume na mamlaka yake ya udhibiti vyama vya siasa na shughuli za kisiasa nchini.
Kagine alichukua hatua hiyo kutokana na uchaguzi wa vion gozi wa Chipukizi wa CCM ulio fanyika Desemba 2023, ambao picha jongefu (video) zilisam baa katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha baadhi ya watoto waliokuwa wa wakigombea hizo wakitoa sera na kuomba nafasi kura.
Chipukizi ni kundi la watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 ambao wako kwenye idara ya chipukizi na uhamasishaji chini ya Umoja wa Vijana (UVCCM).
Ingawa idara hiyo imekuwepo miaka mingi, lakini ucha guzi huo uliibua mjadala mka li mitandaoni, huku makundi mawili yakisigana kimtazamo, wengine wakipinga hatua hiyo kuwa ni kinyume cha sheria na kwamba watoto hao wanapaswa waachwe wajielekeze kwenye masomo na wengine wakiunga mkono.
Katika shauri hilo, Kagine alidai kwa mtizamo wake ni kinyume na sheria kuwahusisha watoto wenye umri chini ya mia ka 18 katika shughuli za kisiasa na za chama kikamilifu.
Alidai kuwa CCM wanakiuka vifungu vya 6C (1) (b) na 10A(a) vya Sheria ya Vyama vya Sia sa, Ibara ya 7 ya Katiba yake iliyoidhinishwa na kwamba kuwahusisha watoto katika shughuli hizo si kwa maslahi bora ya mtoto mwenyewe.
Hivyo, Kagine aliomba Mahakama lamuru kama inaruhusiwa watoto chini ya miaka 18 kuhusishwa kati ka shughuli za kiasiasa za CCM, kama ushirikishaji huo unakiuka kifungu cha 6C(1) (b), 10A vya Sheria ya Vyama vya Siasa na Ibara ya 7 ya Katiba yake (CCM), Pia aliiomba Mahakama iam ue kama ushirikishaji huo CCM inakiuka maslahi ya watoto chỉ ni ya kifungu cha 4602) cha Sheria ya Mtoto na chini ya Sheria ya Kimataifa.
Vilevile aliiomba Mahakama iamue kama chini ya kifungu cha 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa Msajili wa Vyama vya Siasa ana mamlaka ya kupima hoja hizo za ushirikishaji watoto katika shu ghuli za kisiasa.
Kisha aliiomba Mahakama itoe amri kumwelekeza Msajili wa Vyama kusimamia kutokuhu ya mia sishwa kwa watoto chini ka 18 katika shughuli za kisiasa na za CCM, na imwelekeze msa jili kukichukulia hatua za kiut awala CCM kwa vitendo hivyo. Wajibu maombi katika maji bu yake ya maandishi na via po kinzani, walikanusha hayo ya ukiukaji sheria.
CCM ilidai kulingana na Iba ra ya 7 ya Mkataba wa Afrika wa Haki na Ustawi wa Mtoto na kifungu cha II cha Sheria ya Mtoto, kama ilivyorekebishwa mwaka 2019, mtoto ana haki ya kueleza maoni yake na kusikilizwa.
Kagine anamlalamikia msajili kutoichukulla hatua CCM kwa ukiukaji huo wa sheria anaodai, lakini hakuna ushahidi kama aliwahi kumuomba achukue hatua kabla ya kuomba nafuu za kikatiba." Jaji Angelo Rumisha
Katika shauri hilo, mdai Kag ine aliwakilishwa na wakili John Seka na CCM iliwakilishwa na wakili Fabian Donatus, huku Msajili na AG wakiwakilishwa na Wakili wa Serikali, Daniel Nyakiha
Jaji Rumisha katika hukumu hiyo aliyoitoa Oktoba 3, mwaka huu amechukua msimamo wa Mahakama hiyo katika uamuzi wa mashauri mengine kuwa utaratibu wa mashauri ya kika tiba haupaswi kutumika kama kuna njia mbadala ambazo zinapaswa zitumike kwanza.
Akieleza kuwa msimamo huo unalenga kulinda utakatifu wa asili wa katiba na kupeleka mahakamani mashauri ambayo tu yana umuhimu mikubwa na kuacha mengine yashughuliki
Jaji Rumisha alisisitiza katiba ni sheria kuu na kwamba inapas wa kutumika kuomba nafuu pale tu ambapo hakuna tiba ya kuto sha katika sheria ya kawaida.
Alisema sheria ya vyama vya siasa inatoa utaratibu wa udhibiti na utekelezaji wa sheria kupitia ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, ikiwemo na adhabu kwa ukiukwaji huo wa sheria. Alibainisha kifungu cha 19 cha sheria hiyo kinampa Msajili wa Vyama vya Siasa mamlaka map ana, yakiwemo kusimamisha au kukiondolea usajili chama cha siasa kilichovunja sheria.
Jaji Rumisha alisema kulin gana na madai na maombi ya Kagine iwapo ukiukwaji huo utathibitika, basi kifungu hicho ndicho kinafaa zaidi kuchukua hatua kwa madai hayo na kwam ba utaratibu huo ulipaswa kutu mika kwanza kabla ya utaratibu wa kesi ya kikatiba.
"Kutokana na hili, kutumia mamlaka ya Mahakama hii ya kikatiba ni jambo lisilofaa. Kati ka hitimisho, kesi hii inafutwa, alisema Jaji Rumisha.
Walichokisema mawakili
Wakili Seka alieleza Mahaka ma chini ya sheria inazuiliwa mtu wa umri wa chini ya miaka 21 kugombea uongozi isipokuwa kuanzia umri huo na kuendelea Alidai CCM inakinzana na sheria inayosimamia vyama vya siasa, hasa masharti ya vifun gu vya 6C (1) (b) na 10A (a), ambayo Ibara ya 3(2) ya Katiba ya nchi inaelekeza izingatiwe, huku msajili pia alipuuza ukiukwaji huo
Majibu ya Wakili wa CCM Akijibu hoja hizo wakili wa CCM, Donatus alidai watoto chi ni ya miaka 18 wameunda jumui ya inayoitwa Chipukizi ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1970 na kwamba watoto hao wana shiriki matukio ya kitaifa kama Siku ya Uhuru na ya Muungano kuonyesha uzalendo wao.
Alidai ushiriki wao huo kati- ka matukio hayo unaendana na Ibara ya 219(c) na (d) ya Mkataba wa Haki na Ustawi wa Mtoto, ambayo inahimiza Serikali (za nchi wanachama) kuwaelimisha watoto kuhusu utambulisho wa utamaduni wake na maadili.
Hata hivyo, Wakili Donatus alidai watoto hao si wanacha ma wa CCM kwa kuwa uana chama hautambuliwi kwa kuvaa mavazi ya chama, bali kwa kum bukumbu zinazohofadhiwa na msajili. Alidai sheria ikiwemo Katiba ya Tanzania na mikataba ya kimataifa inaruhusu watoto kuunda jumuiya, hivyo akaiom ba Mahakama itupilie mhali kesi hiyo.
Wakili wa Serikali, Nyaki ha alidai mwelekeo wa madai ya Kagine ni vitendo vya CCM kuwashirikisha watoto katika Siasa. Alieleza kwa kuwa hadai sheria yenyewe inakiuka Katiba hali vitendo vya CCM ndio vinak- luka sheria, basi madai yake yako nje ya mamlaka ya Mahakama ya kikatiba.
Chanzo: Mwananchi