Tetesi: Mahakama ya Ardhi Temeke hakimu anataka kudhulumu kiwanya cha Poul Yona Kira

Tetesi: Mahakama ya Ardhi Temeke hakimu anataka kudhulumu kiwanya cha Poul Yona Kira

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mh Lukuvi mimi nakuomba sana utumie watu wako kufuwatilia shauri la kiwanja cha marehem Poul Yona Kira Vs Kirumbi ili haki itendeke.

Kiukweli kabisa mkuu haki ya familia inataka kupeperushwa na kwanjia zakihalifu ambazo sisi kama wana familia tumezikataa.
Huyu bwana anaitwa kirumbi anakiwanja Kule mbagala kibonde maji ambacho kimepimwa na Poul Yona Kira alikuwa jirani yake Sema kwa bahati mbaya huyu mzee akafarikia na kusema ukweli mpaka mzee Kira anafariki eneo lake lilikuwa yapata heka moja ila kwakuwa ni bonde yeye akawa mtu mwisho kumiliki eneo lile na kabonde.

Huyu kirumbi baada yakujuwa amekufa mwenye eneo akafyeka mnazi ulio kuwa alama nakutengeneza fance akisema eneo lakwakwe na kiukweli ujasiri huu aliupata kwakuwa pale palikuwa na mtu anaishi kwa msaada tu aliomba pale maana palikuwa na nyumba sasa huyu jamaa anaitwa Mushi akawa ameingia mikataba nakirumbi ili tu watudhulumu lile eneo Mungu mkubwa Mushi tulimshinda mahakaman na akaambiwa aondoke sasa leo wamejiunga na kirumbi kuendeleza drama zao na kuweka haya kweli tarehe 20.12.2018 mke wa Mushi anakuja mahakaman kutetea huyu Kirumbi kuwa eneo letu ni la huyo mzee.
Kiukweli hii ni dhuluma mchana kweupe ambayo huyu Kirumbi aliipanga na ametusumbuwa kweli. Eneo la kirumbi limepiwma na eneo la Poul Yona Kira limepiwma how come leo mtu wakiwanja kingine anajipa umiliki wakiwanja sio chake Wala hakipo ktk sq za eneo lake.

Pili kabla ya hakimu kuita mashaidi huyu kirumbi aliitwa na kuombwa document hana zaidi ya ofa leta ya kiwanya chake na sisi tuna full doc za umiliki na mpaka kuandikishana na ukubwa wa eneo. Chakujiuliza pamoja na yote hayo bado hakimu alisema kuna hoja ya msingi kufunguwa hili shauri. While kirumbi hana doc. Je jaman hapo hakuna harufu ya dhuluma au ndio utaratibu

Tatu zipo tetesi Kirumbi nimtoa Rushwa mzuri alitaka kutoa Rushwa kwenye baraza la usuluhishi kibonde maji wakambwaga pia kwa mapolice na ushahidi upo pale kwa RPC Temeke kuna kipindi aliwahonga watu wa upelelezi ili wamsumbue mwana familia alikuwa akifanya follow up za hiki kiwanja. Akatoka hapo akamuhonga mtu mmoja pale wizara ya mambo ya ndani atutishe tukaenda ngazi za juu maofisa walio husika wakaanza kuwasumbuwa maofisa ardhi temeke na kuwataka wapindishe haki hivi naandika watu wengine wapo ktk shida kwa sababu ya kirumbi.
Hivyo zipo tetesi hakimu amekuwa akihairisha kesi na kumlinda kirumbi ili waweze kutudhulumu kwa kupitia sheria najuwa kirumbi hajuwi nguvu zetu ila sisi tumesema kama Mungu yupo hakiyetu itachelewa ila siku itapatikana.

Kesi ipo mahakaman na kwetu sisi tunaona kama mwenendo huu wa kesi unamashaka kwasababu mfunguwa kesi hana hoja sasa sijuwi ndio utaratibu au ndio nini hasa kiukweli tunakuomba akimu amuogope Mungu haki itendeke maana kesi hii inatupotezea muda sana.


Update:-
Tarehe 20 Dec 2018 tulikuwa mahakaman na kwa bahati mbaya wazee wa baraza hawapo hivyo kesi ika. Hairishwa kiukweli mzee huyu kirumbi alilalamika sana na sisi tulikaa kimya. Kwa mara hii hakimu alisikika akimwambia usicheze na serikal pesa zako nenda zako huko subiri wazee wapatikane ndipo kesi isikilizwa.
Kesi imeahirishwa mpaka Feb2019

Update
Tunashukuru hakim alikuwa anataka pindisha shauri letu amebadilishwa na sasa yupo mwanamke na niwe mkweli tuna imani naye.

Mh waziri sisi kama wana familia tuna andika nakusema tunaomba jicho lako lije ktk mahaka ya ardhi temeke na usimamie haki yetu tunajuwa huu mpango ovu na tunakuomba msaada.
Asante.
 
Back
Top Bottom