Watuhumiwa wa kuuza gongo ya sumu:
1.Ramadhani Selestini
2. Salehe Omary
3.Shukrani Malungu
4.Charles Ibrahim[ huyu wampeleke Kisutu]
5.Fadhil Juma
6.Abdalah Mnazi
Marehemu waliokufa kwa kunywa gongo iliyouzwa na watuhumiwa:
1.Juma Abdalah.
2.Mathew Roma[???]
3.Khalid Hamis
4.Mohamed Said
5.Antipa Raphael[???]
6.Hekima Bakari
Kadhi mkuu aanze kwa kuframe charge kwa wa umini wake hao na kuwashtaki kwenye mahakama ya kadhi.Ni nani Kafiri kwa staili hii na sampling hii?Mwenyezi Mungu atuhurumie sana.