Halafu mwisho wake??? Je imeshawafanyia dhara yoyote? Msitake kujilinganisha na Wakenya, wametuzidi mbali sana kiutashi na kiutendaji. sisi tumebakia kuiga tu tena mbaya zaidi tunaiga upuuzi huku ya maana tukiyaacha kwa kujisahaulisha na kutafuta sifa tusizokuwa nazo!! Ukiitazama vizuri karagosi hiyo utapata picha halisi ni kina nani walikuwa wanaipinga!!!