Mussa Mussa
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 138
- 42
Naomba niseme wazi kuwa mimi ni mkristo, ila nimesikia kuwa mpaka sasa mikoa iliyomingi imekubali mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye katiba mpya kasoro Mbeya na Arusha, sasa naomba tujadili kwa pamoja bila kujali wewe ni mkristo au muislaam ni vema jambo hili kuingizwa kwenye mfumo wa selikali wakati selikali haina dini, hatuoni kama tutaanzisha migogoro isiyo na maana. I
Itakuwaje ikiwa na wakristo watakuja na kusema nao wanamahakama yao? Lijadili kama lilivyo usiulize source chukulia ndivyo ulivyo. Mimi siungi mkono hilo swala. AHSANTE "Mussa Mussa"
Itakuwaje ikiwa na wakristo watakuja na kusema nao wanamahakama yao? Lijadili kama lilivyo usiulize source chukulia ndivyo ulivyo. Mimi siungi mkono hilo swala. AHSANTE "Mussa Mussa"