Mussa Mussa
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 138
- 42
Naomba niseme wazi kuwa mimi ni mkristo, ila nimesikia kuwa mpaka sasa mikoa iliyomingi imekubali mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye katiba mpya kasoro Mbeya na Arusha, sasa naomba tujadili kwa pamoja bila kujali wewe ni mkristo au muislaam ni vema jambo hili kuingizwa kwenye mfumo wa selikali wakati selikali haina dini, hatuoni kama tutaanzisha migogoro isiyo na maana. Itakuwaje ikiwa na wakristo watakuja na kusema nao wanamahakama yao? Lijadili kama lilivyo usiulize source chukulia ndivyo ulivyo. Mimi siungi mkono hilo swala. AHSANTE "Mussa Mussa"
Wakristu huwa hawana utaratibu wa kutaka vitu kwa vile tu asiye mkristu kapewa... Big no... Waislamu ndiyo mara zote reasoning zao zipo kwenye mbona fulani hivi au vile. Wakristu wao reasoning zao zipopo kwenye kwenye uhalali au uhalisia wa jambo lenye. Kuna mambo hayahitaji kupigiwa kura kwa sababu ya unyeti wake. Kwa mfano, katika watu kumi ukiwauliza juu ya kuhalalisha ujambazi kwenye katiba mpya, kama katika hao kumi nane ni majambazi, lazima wahalalishe ujambazi. Hivyo basi the same katika suala la mahakama ya kadhi. Inatupasa tuamue kwa kutazama hasara na faida zake na si nani anataka na nani hataki. ..... Kwa mwendo huu wa kuamua jambo kwa kuangalia nani anataka na nani hataki, kuna siku tutabinafsisha magereza... By JK Nyerere .... Na tutalipia kufungwa huko... By NgalikihinjaWakristo nao wapewe mahakama zao wakitaka. Wasi wasi wangu sijui watakuwa wanatumia sheria zipi kuhukumiana kwenye maswala kama mirathi na ndoa maana biblia haina sheria specific ktk maswala hayo!
Wakristu huwa hawana utaratibu wa kutaka vitu kwa vile tu asiye mkristu kapewa... Big no... Waislamu ndiyo mara zote reasoning zao zipo kwenye mbona fulani hivi au vile. Wakristu wao reasoning zao zipopo kwenye kwenye uhalali au uhalisia wa jambo lenye. Kuna mambo hayahitaji kupigiwa kura kwa sababu ya unyeti wake. Kwa mfano, katika watu kumi ukiwauliza juu ya kuhalalisha ujambazi kwenye katiba mpya, kama katika hao kumi nane ni majambazi, lazima wahalalishe ujambazi. Hivyo basi the same katika suala la mahakama ya kadhi. Inatupasa tuamue kwa kutazama hasara na faida zake na si nani anataka na nani hataki. ..... Kwa mwendo huu wa kuamua jambo kwa kuangalia nani anataka na nani hataki, kuna siku tutabinafsisha magereza... By JK Nyerere .... Na tutalipia kufungwa huko... By Ngalikihinja
Una lako jambo wewe! Hakuna mtu aliyewahi kupinga kuwepo kwa mahakama ya kadhi! Hivi sasa mahakama hii ipo na inafanya kazi kwa taarifa yako!
Mambo ya kidini lazima yafanye kazi kidini na siyo kiserikali. Serikali inatoa idhini tu! Think twice..........!Pole mkuu inafanya kazi kiselikali au kidini. Ninajua inafanyakazi lakini siyo kiselikali. Think before...................