Mahakama ya kadhi nini maoni yako

Mahakama ya kadhi nini maoni yako

Korofu

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
157
Reaction score
23
MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM

Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa , mirathi na mambo ya kidini kwa kutumia Sharia.

Sharia ni nini?
Sharia ni mkusanyiko wa sheria za dini ya kiislam ambazo zinatokana na kitabu cha quran na tamaduni za kiislam kwa kufuata mafundisho na hadithi za Mtume Muhammad.

Mambo ya kidini yanayo hukumiwa na mahakama ya kadhi ni yapi?

Ni mambo yote yanayokwenda kinyume na tamaduni za kiislamu. Mfano Kula hadharani wakati wa mwezi, wa ramadhani, kuchinja kwa mtu ambaye siyo muislamu, kufanya biashara ya vileo, biashara ya nyumba za kulala wageni, biashara ya nguruwe, mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiislam kwa maana hiyo ili uwe salama kwa swala la mavazi sharti uvae hijabu kwa wanawake, kanzu na kibaragashia kwa wanaume, msuri na visuruari vizivyogusa viatu.

Kwa nini waislam wanataka Mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi?

Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi ili itambulike kisheria na iwe na nguvu kama mahakama za kawaida za makosa ya jinai na hiyo iwe na mamlaka ya kuhukumu watu wote waislam, wakristu na hata wapagani limradi tu hawaishi kwa kufuata tamaduni za kiislam. Mfano mtu atakaye kutwa anakula hadharani wakati wa mwezi wa ramadhani sharia itachukuwa mkondo wake na hukumu iliyotawala kwenye sharia kwa mtu anayeishi kinyume na tamaduni za kiislam ni kuuwawa kwa kuchinywa na jukumu hilo liko kwa Makadhi.
Hivyo basi mahakama ya kadhi ikiingizwa kwenye katiba itakuwa na nguvu za kuhukumu mambo ya siasa, kijamii na makosa ya jinai kwa ujumla kwa raia wote na si kwa waislam peke.

Muundo wa mahakama ya kadhi

Mahakama ya kazi inafuata muundo wa mahakama za kawaida hivyo zinaanzia ngazi ya chini kabisa kwenye wilaya na hadi ngazi ya kitaifa na mahakimu wa mahakama za kadhi ni makadhi amboa wote ni waislam

Kazi za Makadhi
1.Kusikiliza mashauri na kuhukumu kwa kufuata sharia
2.Kuhakikisha anatokomeza ukristu katika eneo lake na uislam unatawala
3.Kuhakikisha hakuna kanisa linajengwa katika eneo lake na wala kanisa linapo bomoka halitaruhusiwa kukarabatiwa wala kujengwa tena. Kujenga kanisa ni kinyume na tamaduni za kiislam ndiyo maana utaona wameanza kuchoma makanisa huko Zanzibar na sehemu zingine za Afrika kama Nigeria.

Madhara ya Mahakama ya Kadhi
1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam
4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria. Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe

Where's Nyerere when we need wisdom??? Aliondoka na nchi take...? Sad!
 
Mahakama ya kadhi haifai kwa Tanzania kama hayo ndio yatayojiri endapo inapita.
 
Soma ibara ya 41 kila kitu kiko wazi hakuna kelele wala usumbufu.
 
unajua kama haukubaliani na swala la mahakama ya kadhi...usikubaliane nalo tu..lkn usipotoshe watu kwa kuwa tu unataka kila mtu asikubaliane nalo....au ndo nyie tu mradi umepata chance ya kuandika thread basi unaandika tu mradi upate comments nyingi......cjui umejiunga na kifurushi cha chuo basi unaki mis use kweli
 
huo ni uongo wala hutochukiwa na mtu we utajichukia

Mchangiaji mwenzangu mchango wako ungekuwa na manufaa kama ungetufuatia huo uongo uliouona hapo kwa ukweli unaoujua wewe wa mahakama ya kadhi afu ukalinganisha na ile ibara ya 41 kwenye katiba inayopendekezwa ambayo mimi nimeisoma vizuri ili hata mimi niwe na maamuzi sahihi kuona kama kifungu hiki kweli kina manufaa au hakina! Asalam Aleykum!
 
unajua kama haukubaliani na swala la mahakama ya kadhi...usikubaliane nalo tu..lkn usipotoshe watu kwa kuwa tu unataka kila mtu asikubaliane nalo....au ndo nyie tu mradi umepata chance ya kuandika thread basi unaandika tu mradi upate comments nyingi......cjui umejiunga na kifurushi cha chuo basi unaki mis use kweli

Pia wewe Msindikizaji kwa upande wako unaonekana unakubaliana na Kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, sasa mie naomba unifafanulie tu faida ambazo watapata watanzania wa dini zote kwa kuanzishwa kwa mahakama hii na pia unieleze sababu hasa za kutaka serikali ijihusishe nayo hali ukijua kabisa ni kuvunja katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 na Kuwa against katiba inayopendekezwa inara ya 41 ambayo inatoa mwongozo kwa Serikali kutojihusisha na shughuli za dini wala uendeshaji wa taasisi zake!
 
Mahakama ya kadhi iwepo hata leo, tunachotaka sisi ni SERIKALI kutojihusisha na uendeswaji wake!! wao wenyewe waone namna ya kujiongoza kwa kufuata taratibu zilizopo za nchi.
 
asante ndugu kwa kuliona hilo udini TZ sio mpango kabisa, siufagilii hata kidogo.
 
Thanks for the info...

Ni hatari. Watakao mahakama ya kadhi si wahamie Uarabuni!
 
Waislam Kama mahakama ya kadhi itawafanya muende peponi nawashauri tafuteni njia zingine tuliache taifa letu salama, hii mahakama watu wengi wameikataa na imeleta mvurugano mkubwa, tusilipe taifa vitu ambavyo havihitajiki, tengenezeni mahakama yenu nje ya katiba yetu, Kama ilivo swala tano Hakuna anaewakataza basi na hio mahakama ya kadhi iwe hivo nje ya katiba, angalia alshabaab wanavoua wakenya, bado huko moshi watoto 147 wana chukua mafunzo msikitini hali hio inawatisha watu kukubali sheria za uislam kuingizwa kwenye Katiba. Tuendelee vile vile serikali haina dini
 
Back
Top Bottom