Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Naangalia kipindi cha bunge saa hii na kuna mbunge anachangia. Anataka mahakama ya kadhi ilejeshwe. Utetezi wake ni kuwa mbona majirani zetu Kenya wanayo?, utetezi mwingine ni kuwa, kama imewezekana kwa kenya na India ambako waislam hawazidi asilimia 16 kwa nini haiwezekani Tanzania ambako waislam ni zaidi ya asilimia 65