Hi ni mahakama ya kidini zaidi,ni wasomi wa Quran ndio wenye uwezo wa kukupa ufafanuzi wa hiyo mahakama,kwa kifupi ni mahakama ya kutasfiri 'do' na 'do not' za kwenye Quran dhini ya ummat muhammad,si mahaka simple kama wanasiasa na waislam uchwara wanavyoizungumza,ni mahakama ya ukweli as far as jamii ya waislam is concerned.
swala la ndoa na mirathi ni baadhi tu ya yale yatendwayo na hiyo mahakama. KWA UKWELI MAHAKAMA YA KADHI IN ITS REAL SENSE AND CONTEXT, haiwezekani kuwa fully utilized kwenye circular state kama yetu au hata nyingine,zilzopo kwenye circular states ni pasted edited vesion ya mahakama ya kadhi. madai ya waislam dhidi ya hiyo japo wanajua ukweli wanajificha wamekuwa kama ngamia na ombi la kuingiza kichwa kwenye hema,ukimruhusu..............!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????