Mahakama ya kwanza Kinyerezi

Alykhan

New Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Wananchi mimi ni mtanzania mwema shida yangu ilikuwa nili apply kufungua mirathi ya marehemu baba yangu akiwa amefariki kisutu ILALA nika elezwa kuwa niende mahakama ya Kinyerezi nikaenda baada ya kupeleka application yangu Monday ya 15/7 jibu nikapewa tahere 16/7 kuwa application yangu haijakubaliwa due to our parents and we are Muslim

Now my question is mahakama imewekwa kwa kusikiliswa kero ya wananchi na kupata muongozo sio kimila kusema kuwa Sisi waislamu hatuwezi kupata msaada yeyote je nahitaji msaada na muongozo what next step should I take.
 
Tatizo hapo je Islamic law inaapply?, alafu hujaweka wazi kuwa hiyo mirathi unadai au.....! Swali lingine Ni je wewe ndio msimamiz wa mirathi? Kama sio huwezi kufungua kesi isipokuwa kwa madai tu.
 
Wewe ndo msimamiz wa mirathi? Kama sio huwez kufungua kesi hapo. Ila Kama kuna mirathi unadai afu msimamiz wa mirathi anakuzingua, na Kama wewe Ni Third party beneficiary unaweza kusue. Tofaut na hapo Mahakama haitoweza kukusikiliza.
 
hapa ndio msikitini?
peleka malalamiko yako kwa maulamaa huko, hapa tupo na mambo ya kuikomboa nchi kwenye huu utumwa wa tangu miaka 50 iliyopita, utumwa wa mtu mweusi
 
Mahakama ya wilaya ya Ilala ikiyokua pale Lumumba/Samora imehamishiwa Kinyelezi
yes, ipo kinyerezi, mpaka ufike kule kama unaatokea mjini ni masaa mawili, kilikuwa kiwanja mtumishi mwenzetu, akaamua kukiuza kwa mahakama, kwakweli mawakili wanapoata shida sana, ukiwa na kesi huko, hakikisha mteja anakulipa laki moja ya nauli, na pia usiwe na kesi nyingine mjini wala mahakama yeyote.

pia hakuna chumba cha mawakili, utaishia kusimama tu.
 
tusubiri jibu la Incharge wa Ilala DC, sijui kama Msajili Mkuu wa Mahakama anajua haya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…