Mahakama ya mafisadi Kwa Katiba ipi?

sidhani kama kuna umuhimu katiba kuanzisha au kuwa na article yake...hii itakua mchepuko wa Mahakama kuu kama ilivyo Land..labour na commercial divisions of the high Court
 
Hii mahakama ya mafisadi imeshajengwa Kigamboni,ni division of high Court,

Jurisdiction yake itaanza na 1 billion,below that you go to Normal Court .

Judges watakuwa watatu.

Mwezi wa saba tar 1 inaanza.

Tukae mkao wa kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…