Pole mkuu. Mahakama hiyo sio ya mwisho kimaamuzi, bado unayo nafasi ya kupigania haki yako kwa kukata rufaa mahakama ya wilaya ambapo watachambua ushahidi wa pande zote mbili na kutoa haki kwa mwenye haki. Pia kama hautaridhika unweza kukata rufaa mahakama kuu na baadae mahakama ya rufaa.