Kesi ya Lema haina public interest. Ni upuuzi alioufanya mwenyewe kutokana na ujinga wake. Mache aendelee kusota rumande. Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwenguSasa ukiangalia kama kesi ya Lema ya kuangalia upatikanaji wa dhamana ambao uko wazi kisheria kuna sababu gani kuchukua miezi mitatu?
Halina public interest ? Sio kweli yule ni kiongozi wa watu wa Arusha. Halafu hilo la kusema ni ujinga wake, hapa hatuzungumzii kesi ya msingi bali dhamana yakeKesi ya Lema haina public interest. Ni upuuzi alioufanya mwenyewe kutokana na ujinga wake. Mache aendelee kusota rumande. Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu
Hapa hatuzungumzii ukubwa wa tatizo la rushwa Bali ufanisi wa kazi katika speed ya kutoa maamuzi.Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!
Ukapimwe sio bureKesi ya Lema haina public interest. Ni upuuzi alioufanya mwenyewe kutokana na ujinga wake. Mache aendelee kusota rumande. Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu