Safi sana,
Hii itapunguza tatizo la watu kununuliwa ili wawasumbue wenzao. Halafu pressure zisizo na mpangilio kutoka makao makuu ya chama zitakoma.
Nakumbuka kwamba Makamba aliagiza kuwa wote walioshindwa uchaguzi wafungue kesi na CCM itagharimia, nadhani wale ambao hawakutaka kujiingiza kwenye huo upuuzi ndio walijikuta katika hali kama hii ya Lema.
Nikuulize swali..
kwani hii ya 'pili pili iko shamba yakuwashia nini' ina apply kwenye kesi zoote?
je kama kesi ingekuwa udanganyifu wa kura au idadi ya kura na waliofungua ni watu wengine?
au 'tusi ' na 'sio tusi' ni suala binafsi?
mahakama haiwezi kuamua yapi ni matusi na yapi sio matusi kwenye uchaguzi?
kuwa na mbunge alievunja kanuni za uchaguzi sio 'public interest'?
Naauliza kisheria.....sio kama napinga au kuunga mkono....hii kesi
nataka tu maelezo ya kisheria..
Mkuu tena anatoka mtu ambaye ni hohe hahe hata pa kuishi kwake ni shida lakini anamudu gharama zote za kuendeshea kesi kumbe yupo kama kivuli kuna watu wanaojificha nyuma ya hicho kivuli
Sijakuelewa. Fafanua please.
All in all, aibu ya CCM kushindwa mahakamani katika kesi hii ni ndogo kuliko aibu ambayo ingetokana na ushindi wa kishindo wa Chadema iwapo uchaguzi mdogo ungeitishwa. Kuelekea 2015, political liability kwa CCM kitaifa ambayo ingeandamana na kupoteza jimbo husika katika uchaguzi mdogo ingekuwa ni kubwa zaidi kuliko hii ya sasa ya kushindwa kwenye kesi ya rufaa; Vinginevyo sioni CCM kurudisha majimbo yote ya mijini nchi nzima, na itazidi kuyapoteza mengi sana 2015; CCM relies on rural votes, chadema relies on urban votes, huku trend ya kidunia ni urbanization kuliko villagi zation; what an interesting ending for CCM;
Bossman, hii hukumu ni maoni tu ya hao majaji wa mahakama ya rufaa walioisikiliza na kuitolea uamuzi.
Mtu mwingine anaweza akawa na maoni kinyume kabisa na ya hao majaji watatu na akajenga hoja kuwa kuvunja kanuni za uchaguzi ni jambo lenye maslahi kwa umma.
Tfsiri ya nini ni public interest na nini sio public interest hapa..
ni kama sio sahihi....
wengine tunaona lolote linalohusu uhalali wa uchaguzi ni public interest....
All in all, aibu ya CCM kushindwa mahakamani katika kesi hii ni ndogo kuliko aibu ambayo ingetokana na ushindi wa kishindo wa Chadema iwapo uchaguzi mdogo ungeitishwa. Kuelekea 2015, political liability kwa CCM kitaifa ambayo ingeandamana na kupoteza jimbo husika katika uchaguzi mdogo ingekuwa ni kubwa zaidi kuliko hii ya sasa ya kushindwa kwenye kesi ya rufaa; Vinginevyo sioni CCM kurudisha majimbo yote ya mijini nchi nzima, na itazidi kuyapoteza mengi sana 2015; CCM relies on rural votes, chadema relies on urban votes, huku trend ya kidunia ni urbanization kuliko villagi zation; what an interesting ending for CCM;
Kweli mtu yoyote anaweza kutoa maoni tofauti na yaliyomo kwenye kesi.
However, in law, this is a binding authority which must be followed by any court in subsequent cases, unless the legislature enacts a law to the contrary or the Court of Appeal overrules this decision on the basis that it was wrongly decided.
But from today, it is a rule of law that an election petition is not a public interest litigation.
Tfsiri ya nini ni public interest na nini sio public interest hapa..
ni kama sio sahihi....
wengine tunaona lolote linalohusu uhalali wa uchaguzi ni public interest....
Kweli mtu yoyote anaweza kutoa maoni tofauti na yaliyomo kwenye kesi.
However, in law, this is a binding authority which must be followed by any court in subsequent cases, unless the legislature enacts a law to the contrary or the Court of Appeal overrules this decision on the basis that it was wrongly decided.
But from today, it is a rule of law that an election petition is not a public interest litigation.
FROM TODAY?
Na wewe unaunga mono sababu ni sheria au ni morally right?
... relativity, quality and quantity ya AIBU!! ... good idea!!
Anyway, @ending of CCM bado ninaamini kuwa ...CCM inahitaji kuvunjika mapande mawaili. Which to me its not the Bad ending!! Kulko kwenye Votes!!
Actually naandaa mjadala huo, nipe masaa machache nitauweka; nadhani humu si muktadha sahihi; vinginevyo nilicho maanisha katika mjadala wetu wakati ule ni kwamba kura za mjini pekee hazitoshi kuipa Chadema ushindi 2015;Ndugu Mchambuzi,
Utakumbuka huko nyuma nimepata kujadili kwa nawe kile kiitwacho ''voting behaviors of urban and rural population''..Na ulishilikia msimamo kuwa kwa opposition kushinda uchaguzi ni lazima iungwe mkono na urban population..Hukuona uwezekano wa urbani population kuchangia ushindi wa opposition mwaka 2015.Kwa kuwa tumepata tena fursa na ili kuweza kujadili kwa mapana hoja husika ningependa kupata definition yako ya ''a rural and an urban constituency'' kwa muktadha wa mada hii.
siyo tuu kwamba mahakama ya rufaa imemrudisha mh. Lema bungeni.
Bali pia kisheria, kuna kitu ambacho mahakama ya rufaa imekifanyia uamuzi.
Nacho ni kwamba kuanzia leo hakuna tena wagombea walioshindwa uchaguzi kujificha nyuma ya wapiga kura kufungua kesi mahakamani.
Mahakama ya rufaa imesema wazi kuwa ukishindwa uchaguzi shitaki mwenyewe.
Mpiga kura akitaka kushitaki aonyeshe pilipili ambayo hajaila inamwashia nini.
extract ya ruling yenyewe, thanks to nyani ngabu.
"in our case the issue for consideration and decision is whether or not a registered voter under section 111(1)(a) of the act has an absolute right to challenge the election result even where his rights were not infringed. We have given a deep thought to the matter. First, we wish to point out that election petitions are not in our view public interest litigation though they are matters of great public importance. This is because the relief sought would not benefit the entire society as a whole. Second the petition was not brought under article 26(2) of the constitution which permits any person to bring a public interest litigation. The article provides:-
26(2) every person is entitled, subject to the procedure provided for by the law, to institute proceedings for the protection of the constitution and legality.
since an election petition is not a public interest litigation we do not read the section to have done away with the rule of locus standi. We think in our view, section 111(1)(a) of the act give rights to registered voter whose rights to vote have been interfered with or violated. In case violation effects the candidate it is for the candidate to challenge the election because his rights were violated. to give the section a broader interpretation that he has an absolute right to petition even where his rights were not interfered with is to defeat the well established principle of law of locus standi and indeed it does not sound well. we are not prepared to do so. We entirely agree with mr. Vitalis, mr. Kimogomoro and mr. Lissu on the issue of standing of a registered voter.
in view of the above finding we are of the settled mind that mgonja case was wrongly decided on the question of locus standi. This is because we don't think that the legislature intended to say for example any voter irrespective of the place where he had registered and voted can challenge any election results in any constituency in the country. That is absurd. The statute must be construed to make it effective and workable."