Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe

Jana hawakumwona si alikuwa anaongea na waandishi wa habari.
 
Kumbe ni criminal mind! Ndio maana, sasa nimeelewa.
Sasa tukishaanza kuwa na viongozi wababe inaashiria nini? Siku zote huyu MBOWE mimi sijawahim kumwona kama ni leadership material at all. Hata sura yake tu imekaa ki bandit bandit hivi. Anazo kila dalili za kuwa dikteta huyu. Ukiangalia hata Bungeni ni kama anawaburuza tu wabunge wenzake hasa wanapotoka nje kususia. Naamini wengi wa wabunge wa CDM hawapendi huu mtindo wa kik wa kususasusa basi tu wamebanwa mbavu.
 
Kumbe CCM huwa mnaangalia sura vipi ya Wassira.
 
Nobody is above the law,let him rot in jail! Swain
 
acheni lugha chafu kwa kisingizio cha mapinduzi . kapigwa mtu mzima assume BABA yako ndo alipigwa na mbowe makofi kisha wanamapinduzi wanamtetea!!!! mwenye kujali haki huanza kwa mmojammoja na wala huwezi kuongoza familia kijuha kisha ukaongoza umma kwa busara, kosoeni mtu ili ajifunze. mchana mwema.
 
Hivi yule OCD wa maswa aliyepigwa na mgombea ubunge wa CCM kesi imeishia wapi? CCM bwana wanamuona kila mtu ****
 
Asante kwa busara zako
 
Kama Mwenyekiti anapiga watu ngumi je viongozi wengine itakuwaje

HM Hafif

Kwani Mbunge Mbowe amekwisha wekwa hatiani kwenye shtaka hilo?Kama bado Mahakama haijatoa hukumu yake kwa nini unakimbilia kumuona Mbiwe anayo hatia?

Tusiingize siasa kwenye sheria na tuache Mahakama ifanye kazi yake!
 
Aende tu mahakamani, kama aliyekuwa na kosa la kuua na kuendesha gari bila bima alilipa faini laki 7, je kumpiga mtu kibao akabaki na uhai wake utalipa kiasi gani?
 

Nenda Loliondo katibiwe saratani ya ubongo
 
Nobody is above the law,let him rot in jail! Swain

Jela nio afadhali kuliko mtindio wa ubongo nje. Sijui Swain ni nini? Kama ni neno zuri au baya basi na wewe swain siunalijua
 
Ni kweli jf imevamiwa na mataahira wanayoisakama cdm. Mapambano yaendelee kwa wenye fikra pevu
 
Haya yote ni mapito kwa kila mpambanaji wa ukombozi wa taifa lake. Mzee Madiba aliwekwa jela miaka mingi lakini mwisho wa yote akaleta uhuru wa kweli kwa wanabondeni. Mbowe na wanachadema wote kukuta tamaa ni mwiko kwani ndio kwanza kazi ya ukombozi wa mtz imeanza.Viva chadema aluta continua......Mapambano yanaendelea.....
 
Kukiuka sheria sio suruhisho la kuleta ukombozi ni bora kuhakikisha mahakama inaheshimiwa

Mbona Zombe aliachiwa, mbona liyumba kapata hukumu ndogo vile, mbona walioingiza nchi mkenge wa mikataba mibovu wanapeta tu kitaa. Mbona EL hajahojiwa kwa tuhuma zilizompelekea kujiuzulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…