Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe

wanaandaa meli ya kumpeleka hadi Hai. Tutamsindikiza?

Heheheee mke mwenza unauliza mabomu kwenye mkutano wa CDM?

Mie kumsindikiza ni lazima sio hiyari , wajua kabisa kuwa nimekunywa maji ya bendera......hapa najiandaa kwenda kwenye rufaa ya Lema tar 20! ..... waandae na police wa kutosha manake wale walompeleka kwa kopta kipindi kile walikuwa kidogo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…