Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu Miguna Miguna, mbona mahakama iliamuru arudishwe nchini lakini serikali yenu imekataa kutii amri halali ya mahakama?, katika mambo ya msingi ya kuokoa maisha ya watu mnaleta unafiki wa uhuru wa kujieleza, lakini maslahi ya wanasiasa yakiguswa, huo uhuru hauzingatiwi, kweli Kenya ni "man eat man society". Endeleeni kuzika watu wenu kwa sababu unafiki na ujinga umewajaa vichwani mwenu.Hatuna budi ila kuheshimu maamuzi ya mahakama maana nchi yetu inafuata miongozo ya katiba yetu nzuri, binafsi sipendi hadhara za kisiasa, ila ni haki ya wanaopenda kuhudhuria na haipaswi yeyote kuwazuia, iwe rais au nani. Huu ndio uhuru tuliopigania wakati tunaondosha utawala mbovu wa chama dhalimu kilichotukandamiza miaka yote ile.
Kuna mataifa majirani kwao mikutano ya kisiasa huzuiwa ila kwa upinzani tu, lakini milengo ya serikali ni ruksa kukusanyika popote, siku yoyote, saa yoyote na kuhuduriwa na yeyote.
Mbona unamipasho kama malaya wa buguruni pale...we ongelea ya kenya mataifa mengine yanakuhusu kipi hapo,Boya.Hatuna budi ila kuheshimu maamuzi ya mahakama maana nchi yetu inafuata miongozo ya katiba yetu nzuri, binafsi sipendi hadhara za kisiasa, ila ni haki ya wanaopenda kuhudhuria na haipaswi yeyote kuwazuia, iwe rais au nani. Huu ndio uhuru tuliopigania wakati tunaondosha utawala mbovu wa chama dhalimu kilichotukandamiza miaka yote ile.
Kuna mataifa majirani kwao mikutano ya kisiasa huzuiwa ila kwa upinzani tu, lakini milengo ya serikali ni ruksa kukusanyika popote, siku yoyote, saa yoyote na kuhuduriwa na yeyote.
Kwa hili la mihimili huru mmejitahidi hata kama bado kuna maboresho yanahitajika.
Mahakama imezingatia athari za maambukizi ya Covid-19 kwenye maamuzi yake?
Hapa kuna mmoja hasemi ukweli, aidha Covid haipo Kenya au kuna mgongano wa kimaslahi.
Freedom of assembly is an inalienable right in the constitution of Kenya. What police can do is to arrest those who break the social distancing rules but not to stop political meetings.That is the judgement, I may not like it but I have to live with the laws we all agreed to.Kwa hili la mihimili huru mmejitahidi hata kama bado kuna maboresho yanahitajika.
Mahakama imezingatia athari za maambukizi ya Covid-19 kwenye maamuzi yake?
Hapa kuna mmoja hasemi ukweli, aidha Covid haipo Kenya au kuna mgongano wa kimaslahi.
Covid ipo, Kenya hatuifichi, kwa mara ya kwanza nimeshuhudia jamaa wangu wa karibu, mshikaji tena sana, akiathrika Corona hadi amepona juzi tu, yaani tangia anagunduliwa ako nayo mpaka amepona tumekua tukiwasiliana, alifanya jambo la hekima kwa kupima kabla hajaingia kwake nyumbani maana alikua amesafiri kwenda Wilaya nyingine. Hivyo kwa huo upimaji akaiokoa familia yake.
Lakini serikali hapa ilikua imezuia mikutano ya hadhara bila kushirikisha vigezo vyenye mantiki, rais hana mamlaka ya kubwatuka na kujitungia sheria, maamuzi yake yataishia kuwa batili. Ilipaswa iwasilishwe vizuri kwa kuzingatia hoja za kisayansi na vipengee vya sheria, kwa kifupi ilipaswa utaalam uhusike ili serikali ijichimbie na kujilinda kutokana na mahakama, sasa wameishia kupokea za uso.
Binafsi kama nilivyosema, nachukia sana mikutano ya kisiasa ila ni haki kwa wanaoipenda, basi waachiwe japo watumie njia salama za tahadhari.
Ndio maana nikasema maslahi ya wananchi wakenya na usalama wao yapewe kipaumbele badala ya kuweka ubabe mbele.
Naamini ikiwa ni jambo lenye maslahi kwa taifa, mahakama na rais watatafuta namna ya kufikia muafaka.
Hapa kwetu hiyo amri ingesindikizwa na matamko ya vyombo vingine vya usalama kukazia kauli ya rais.
Serikali ni wapi ilikataa wazi wazi miguna miguna asiingie kenya..Vipi kuhusu Miguna Miguna, mbona mahakama iliamuru arudishwe nchini lakini serikali yenu imekataa kutii amri halali ya mahakama?, katika mambo ya msingi ya kuokoa maisha ya watu mnaleta unafiki wa uhuru wa kujieleza, lakini maslahi ya wanasiasa yakiguswa, huo uhuru hauzingatiwi, kweli Kenya ni "man eat man society". Endeleeni kuzika watu wenu kwa sababu unafiki na ujinga umewajaa vichwani mwenu.
Serikali ya Kenya hadi leo imekataa kumrudishia Miguna Miguna Passport yake ya Kenya pamoja na amri ya mahakama kuamuru arudishiwe passport yake ili arudi nchini akiwa kama mkenya.Serikali ni wapi ilikataa wazi wazi miguna miguna asiingie kenya..
Sema ni vile wanapiga figisu figisu za chini chini..
Miguna miguna akitaka kurudi kenya asitangaze aje kimya kimya uone km hatoingia
Hawa ni wazugaji namba moja duniani, hata iyo mikutano mahakama iloruhusu, itachochea maambukizi ya Corona.Serikali ya Kenya hadi leo imekataa kumrudishia Miguna Miguna Passport yake ya Kenya pamoja na amri ya mahakama kuamuru arudishiwe passport yake ili arudi nchini akiwa kama mkenya.
Serikali ya Kenya imemzuia na kukataa kutekeleza amri zote za mahakama kuhusu Miguna Miguna na kumnyang'anya haki zake zote na uraia wake.
Katika hali ya dharura kama hii ya ugonjwa wenye kupoteza maisha ya watu wengi kama huu, lazima kuwepo na hatua za dharura ambazo zitaokoa maisha, ni ajabu kusikia watu wanataka kulinganisha maisha ya watu na mikutano ya kisiasa, hii ni aibu kubwa na kutojitambua kwa mahakama za Kenya.
Imekataa au imekata rufaa[emoji1787][emoji1787]Serikali ya Kenya hadi leo imekataa kumrudishia Miguna Miguna Passport yake ya Kenya pamoja na amri ya mahakama kuamuru arudishiwe passport yake ili arudi nchini akiwa kama mkenya.
Serikali ya Kenya imemzuia na kukataa kutekeleza amri zote za mahakama kuhusu Miguna Miguna na kumnyang'anya haki zake zote na uraia wake.
Katika hali ya dharura kama hii ya ugonjwa wenye kupoteza maisha ya watu wengi kama huu, lazima kuwepo na hatua za dharura ambazo zitaokoa maisha, ni ajabu kusikia watu wanataka kulinganisha maisha ya watu na mikutano ya kisiasa, hii ni aibu kubwa na kutojitambua kwa mahakama za Kenya.
Kwhyo vile umeskia mahakama kenya imetengua kauli ya rais umeanza kujeuza upepo eti inekua hivi kuna corona tena na wakati mlishajihakikishia imeisha kisa hampimi walioko hai na maiti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Serikali ya Kenya hadi leo imekataa kumrudishia Miguna Miguna Passport yake ya Kenya pamoja na amri ya mahakama kuamuru arudishiwe passport yake ili arudi nchini akiwa kama mkenya.