real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Reuben Kivuva aliyemkata mpenzi wake Judy Mwendi (28) mikono na miguu miaka miwili iliyopita baada ya kutokea ugomvi wa kimaenzi kati yao, amepata kifungo cha maisha hii leo katika mahakama ya Makindu. Korti iliamuru kuwa, mali ya mshukiwa itauzwa na pesa hizo kutumiwa kwa gharama ya matibabu ya mpenziwe.