Mahakama yamhukumu kifungo cha maisha aliyemkata mpenzi wake mikono na miguu

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Reuben Kivuva aliyemkata mpenzi wake Judy Mwendi (28) mikono na miguu miaka miwili iliyopita baada ya kutokea ugomvi wa kimaenzi kati yao, amepata kifungo cha maisha hii leo katika mahakama ya Makindu. Korti iliamuru kuwa, mali ya mshukiwa itauzwa na pesa hizo kutumiwa kwa gharama ya matibabu ya mpenziwe.




 
Ugomvi na mpenzi unakata mkono wa kwanza, wa pili. Unaanza mguu wa kwanza, wa pili, unless ulimuwekea dawa ya usingizi akalala naassume alikua akilia akiomba msaada na pengine akiomba msamaha through the whole ordeal.

Kwani ungemsusia nyumba kwa usiku huo ukarudi kesho kichwa kikiwa kimepoa kuna uzito gani?
 
Ni kitu alichkinuia siku nyingi huyo mwanaume na ni sadist kabisa. Kama vile alilelewa kwenye kikundi cha Joseph Kony.Can't imagine how a straight thinking man can inflict such horrific cruelty to his girlfriend!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…