Mahakama yamrudisha Wambura TFF

Lakini Wenye Mamlaka Ya Kumrudisha Madarakani Wambura si ni CAS Pekee Na Sio Mahakama za Jamhuri ya Muungano wa Tz?
Mahakama kuu yamlejesha Michael Richard wambula kwenye nafasi zake, yaani umakamu wa Rais pamoja na uenyekiti wa MKOA wa Mara, maana yake ni kuwa Nyamalani anapoteza sifa za kaimu makamu wa Rais wa TFF
 
List imekamilika, mikia tff ya mikia
 
Huyu jamaa huwa mpambanaji sana. Alifaa kuwa miongoni mwa viongozi wa Chadema. Lakini CAF na FIFA watatii amri ya mahakama?
 
Duh! Wambura mmbishi sana huyu kiumbe aisee yani mwanaume lazima upambane sio mijitu inataka kukuendesha kijinga kijinga hongera zake wambura.
 
Nami nampa hongera Wambura. Yule Msomali alishaigeuza TFF kama NGO yake. Akiamka tu anamfungia mtu asijishughilishe na mpira maishani!
 
Rais aliyepita si alirudishwa na FIFA kugombea TFF sahizi atakuwa anawaza ningejua ningefanya mambo yangu
 
Mahakama kuu yamlejesha Michael Richard wambula kwenye nafasi zake, yaani umakamu wa Rais pamoja na uenyekiti wa MKOA wa Mara, maana yake ni kuwa Nyamalani anapoteza sifa za kaimu makamu wa Rais wa TFF
mahakama kuu? kwa hiyo rungu la FIFA ndiyo litaishukia TFF kwa kuruhusu mpira uingizwe kwenye kizimba?
 
Huyu kajisafisha yeye tu,ila tifua tifua hawezi ingia labda angeenda cass
 
Karia Anamuogopa sana WAMBURA sijui kwa nini.. Huyu ndo anafaa kuwa Rais wa TFF..
 
Mahakama kuu yamlejesha Michael Richard wambula kwenye nafasi zake, yaani umakamu wa Rais pamoja na uenyekiti wa MKOA wa Mara, maana yake ni kuwa Nyamalani anapoteza sifa za kaimu makamu wa Rais wa TFF
wambura anapenda uongozi duh sijapata ona!
 
Lakini Wenye Mamlaka Ya Kumrudisha Madarakani Wambura si ni CAS Pekee Na Sio Mahakama za Jamhuri ya Muungano wa Tz?
sio mara ya kwanza wambura kwenda mahakamani........

km ilikua kesi ya rushwa atakua kashinda so anarudishwa kwenye nafasi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…