Mahakama yasema Prof Kindiki aapishwe kuwa Naibu Rais, Tanzania tuchangamkie fursa za kiuchumi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Imeisha hiyo

Tanzania tujipange Sawa Sawa Kukamata fursa za kiuchumi wakati jirani wakiwa wamejikita kwenye siasa za ndani

Mahakama yasema Prof Kindiki aapishwe kuwa Naibu Rais badala ya Gachagua

Ahsanteni Sana πŸ˜‚
 
Ile sinema yetu wabunge 19 miaka 5 sasa
 
Gachagua Ile move yake na gen z hakuna mamlaka ingemuunga mkono plus Yale maneno yake kwa Uhuru lazima aone mapicha picha
Maisha Yako Kasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…