Mahakama yawafutia kesi moja viongozi wa Uamsho Zanzibar

salmar

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
799
Reaction score
362
MAHAKAMA ya Mwanakwerekwe, Zanzibar imefuta kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi kumi wa Jumuiya ya Uamsho, visiwani Zanzibar.

Mahakama hiyo, imefikia uwamuzi huo leo, wakati viongozi hao walipofikishwa Mahakamani hapo.

Hii ni kwa mujibu wa taarifa fupi niliyoibandua kutoka ukurasa wa ‘facebook’ iliyowekwa na Hamed Mazrui.

Kwa hivyo: Kutokana na hatua hio, viongozi hao sasa watakuwa wanakabiliwa na kesi inayoendelea katika mahakama kuu ya Vuga, mjini Zanzibar.

Mara ya mwisho viongozi hao wa Dini, walipofikishwa mahakama kuu, chini ya Jaji Fatma Hamid, kesi yao ilipangwa kusikilizwa tena Aprili 11, mwaka huu.

Jaji Fatma, aliuagiza upande wa mashtaka kupeleka mahakamani kwa maandishi, ombi la kuzuia kutolewa kwa dhamana kwa washtakiwa hao.

Jaji huyo aliongeza: Licha ya kwamba upande wa mashtaka umekata rufaa kuzuia kusikilizwa kwa ombi la dhamana, mahakama itaendelea kusikiliza kesi ya msingi pamoja na dhamana inayohusu viongozi hao.

Upande wa Mashtaka katika kesi hiyo unaongozwa Ramadhan Nassibu na Raya Msellem, huku upande wa utetezi unaongozwa na wakili, Salim Towfiq.
 
Mungu wabariki muamsho.
Mungu ibariki Zanzibar
 
Hii ni kwa mujibu wa taarifa fupi niliyoibandua kutoka ukurasa wa ‘facebook' iliyowekwa na Hamed Mazrui.

Kwa hivyo: Kutokana na hatua hio, viongozi hao sasa watakuwa wanakabiliwa na kesi inayoendelea katika mahakama kuu ya Vuga, mjini Zanzibar.

Mara ya mwisho viongozi hao wa Dini, walipofikishwa mahakama kuu, chini ya Jaji Fatma Hamid, kesi yao ilipangwa kusikilizwa tena Aprili 11, mwaka huu.

Jaji Fatma, aliuagiza upande wa mashtaka kupeleka mahakamani kwa maandishi, ombi la kuzuia kutolewa kwa dhamana kwa washtakiwa hao.

Jaji huyo aliongeza: Licha ya kwamba upande wa mashtaka umekata rufaa kuzuia kusikilizwa kwa ombi la dhamana, mahakama itaendelea kusikiliza kesi ya msingi pamoja na dhamana inayohusu viongozi hao.

Upande wa Mashtaka katika kesi hiyo unaongozwa Ramadhan Nassibu na Raya Msellem, huku upande wa utetezi unaongozwa na wakili, Salim Towfiq.

Source ya taarifa ni FACE BOOK?
 
Naona unajaribu kuweka msisitizo mkuu @scania 124
 
MAHAKAMA ya Mwanakwerekwe, Zanzibar imefuta kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi kumi wa Jumuiya ya Uamsho, visiwani Zanzibar.

Mahakama hiyo, imefikia uwamuzi huo leo, wakati viongozi hao walipofikishwa Mahakamani hapo.

Hii ni kwa mujibu wa taarifa fupi niliyoibandua kutoka ukurasa wa ‘facebook’ iliyowekwa na Hamed Mazrui.

Kwa hivyo: Kutokana na hatua hio, viongozi hao sasa watakuwa wanakabiliwa na kesi inayoendelea katika mahakama kuu ya Vuga, mjini Zanzibar.

Mara ya mwisho viongozi hao wa Dini, walipofikishwa mahakama kuu, chini ya Jaji Fatma Hamid, kesi yao ilipangwa kusikilizwa tena Aprili 11, mwaka huu.

Jaji Fatma, aliuagiza upande wa mashtaka kupeleka mahakamani kwa maandishi, ombi la kuzuia kutolewa kwa dhamana kwa washtakiwa hao.

Jaji huyo aliongeza: Licha ya kwamba upande wa mashtaka umekata rufaa kuzuia kusikilizwa kwa ombi la dhamana, mahakama itaendelea kusikiliza kesi ya msingi pamoja na dhamana inayohusu viongozi hao.

Upande wa Mashtaka katika kesi hiyo unaongozwa Ramadhan Nassibu na Raya Msellem, huku upande wa utetezi unaongozwa na wakili, Salim Towfiq.

wanaoweza kuthibitisha magaidi ni ccm tu.
 
Kwa hiyo serikali italipa fidia kwa makanisa yaliyochomwa?
 
Wasije achiwa halafu wakamatwe tena kama yule gaidi wa chama fulani cha kisiasa!
 
Amin amin amin.... Dua yako ikubaliwe ndugu! Lakini uifanyie kazi iyo, usikae tu ukaomba!

Oh yeah... naifanyia kazi haswa; hasa ukiangalia Wazanzibari wengi walivyo na ARDHI bara na wakati wabara haturuhusiwi kuwa na ARDHI Zanzibar;
 
Kwa hiyo serikali italipa fidia kwa makanisa yaliyochomwa?
kwani makanisa ndio yalopeleka kesi mahakamani?then kesi ikifutwa maana yake si hakuna hatia?unajua why imefutwa?kama mmechoma wenyewe je?lamda watawalipa nchi si ipo katika kale kamfumo?
 
Mungu wabariki muamsho.
Mungu ibariki Zanzibar

Kwa nini usiwe specific kabisa kwa kumtaja mungu unayemwabudu maana wapo wengi. Nadhani hapa ulitaka kumaanisha hivi:

allah wabariki uamsho
allah ibariki zanzibar

Mungu anayeitwa Yehova hawezi kutoa baraka katika matukio ya aina hiyo.
 
Ungekuwa na Busara au kama ungefuata mafunzo ya Bwana, usingesema ujinga huu
 
Back
Top Bottom