Mahakama za mwanzo kuboreshwa

DOGOSA

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Hivi sasa kuna usaili unaoendelea kwa ajili ya mahakama za mwanzo, ambapo kigezo kikubwa ni kwaba tofauti na hapo kabla sasa hakimu wa mahakama ya mwanzo anatakiwa kuwa na shahada ya kwanza ya sheria.
Je hii itapunguza ubabaishaji katika mahakama zetu za mwanzo? Ila tukumbuke miundo mbinu bado ni ya zamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…