Tetesi: Mahakamani kubenea anakesi yakujibu

Urio kimiroI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
146
Reaction score
74
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]: Mahakama ya Kisutu yamkuta na kesi ya kujibu Said Kubenea(Mb) wa Ubungo kwa kosa la kumtolea lugha chafu Dc-Paul Makonda.
 
Ndio vizuri kwani sasa Kubenea atapata nafasi ya kueleza kwa ufasaha kuwa huyo jamaa ni mjinga na kuwa cheo alipata kwa kujikomba. Na ule ushahidi wa picha akifunga viatu vya mtoto wa mgawa vyeo utatolewa mahakamani na ukikataliwa itabidi tuupeleke kwa wataalamu wamtambue
 
kwa nchi yetu ilipofikia ni kwamba ccm inataka kuteka kila sekta....
 
sasa mkuu Ally Kombo issue ya mahakama na hiyo picha uliyoweka vina uhusiano gani?
 
kwa nchi yetu ilipofikia ni kwamba ccm inataka kuteka kila sekta....
Kitu ambacho hakiwezekani.

Hii mijinga inatamani kila mtu angekuwa anaipigia chapuo CCM kama enzi za kidumu chama cha M . . .

Haaamini kinachowakumba na kwa kitendo hiki ndipo napowadharau watu wakubwa jinga kama kina Nchipa, Sitawaangusha.
 
Hizo ni blah blah........ Makonda ni kati ya viongozi hopeless..
 
Wewe kunamjinga zaidi ya kubenea!!!
Ninyi mlikuwa mkiona kama Makonda kakurupuka tu
Kumbe MNA kichaa anae Jivunia VILAZA
 
Ana kesi ya kujibu ndiyo lakini hana kesi ya kukanusha ukweli wa mambo ulivyo
 
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]: Mahakama ya Kisutu yamkuta na kesi ya kujibu Said Kubenea(Mb) wa Ubungo kwa kosa la kumtolea lugha chafu Dc-Paul Makonda.
Wakati huo huo Jamhuri ilikuwa na Mashaidi watatu na pia haikuwa na nia ya kuendelea na kesi
 
Kujibu ni vizuri, hata Mwanza walifanya vivyohivyo, ushindi ukadhihirika.
(Solve first your internal contradictions before exposing your weakness to the mass)...
Umeya wa Dar nao ushahidi umewekwa wazi, aliyesoma tangazo la zuio hajui andiko lilitoka wapi...
Sheria inapenda kutoa reference' wata refer haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…