Mahakamani kuna baraka sana, kila mara dhamana, je hizi dhamana zinaenda wapi? Na kwa matumizi gani?

Mahakamani kuna baraka sana, kila mara dhamana, je hizi dhamana zinaenda wapi? Na kwa matumizi gani?

Rais Msomi

Member
Joined
Jul 28, 2017
Posts
53
Reaction score
67
Wakuu,

Napenda kuuliza kwa anayejua na mwenye exposure ya kimahakama zaidi juu ya hizi hundi ambazo washitakiwa hulipa wakiwa mahakamani ili wapate dhamana.

Tumezoea kusikia kwamba ili mshitakiwa apewe dhamana sharti awe na wadhamini wawili na kila kutakiwa kujaza hundi ya milion kumi kila mmoja.

Kwa mfano, Mahakama ikipata kesi kumi tu za sampuli hiyo kwa mwezi maana yake ni kwamba watavuna aghalau milion Mia moja mpaka Mia mbili.

Swali, Hizi hela zinafanya kazi gani? Zinaingizwa hazina ya Taifa? Ni posho na marupurupu ya maofisa wa Mahakama na wale wa upepelelezi? Au ndizo zinazounda bajeti ya Mahakama?


Nisaidieni Kujua!!!
 
Back
Top Bottom