Mahakamani na polisi

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Hivi wakuu kama kuna mtu mfano amekushitaki polisi kudai fidia kuwa umemuharibia mali yake. Mtuhumiwa anao uwezo wa kukataa wito wa kumtaka kwenda polisi na kumtaka mtu aliyemshitaki aenda mahakamani moja kwa moja? Kwa maana nyingine mtuhumiwa kuomba wakutane mahakamani badala ya polisi. Hawa polisi mara nyingi sio wa kuwaamini. Unaweza ukaenda wakakutisha na hata kukuweka ndani. Nina wasiwas jamaa ashaongea na polisi ili wanichukulie ela wagawane. Maana jamaa anaenishtaki ashakuaga polisi akatatimuliwa kwa utovu wa nidhamu.
 
Hapa tunafanyaje wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…