Mahakma yagoma kumhukumu kifo Mtanzania aliyetulipua kwa mabomu, yampa kifungo cha maisha

Mahakma yagoma kumhukumu kifo Mtanzania aliyetulipua kwa mabomu, yampa kifungo cha maisha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizi sheria huwa pumba tu, yaani mtu aje atulipue mabomu na kuua watu halafu hakimu anaona bora kumchekea na kumpa kifungo cha maisha badala ya kifo, ila sijui yapi yako nyuma ya pazia labda jamaa katoa ushirikiano wa kutosha uliowezesha kuumbua mtandao ili wengine wakamatwe.
------------------------------
Tanzanian sentenced to life for role in Garissa terror attack

Nairobi. Kenyan court has today Wednesday imprisoned three convicts for abetting the attack on Garissa University in 2015 that left 148 people dead.
Tanzanian national Rashid Charles Mberesero, got a life sentence for his involvement in the terror assault.
Nairobi Chief Magistrate Francis Andayi handed Mohamed Ali Abdikar and Hassan Aden Hassan 41 years in prison.
 
mualifu hana nchi na hiyo ni kazi ya mahakama ndio imefanya sheria zake mpaka kesi kufika hapo.punguza pumba na chuki
 
Back
Top Bottom