Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Naomba kufahamishwa masoko maarufu hapa Dar es salaam ambayo yana utajiri mkubwa wa matunda yanayouzwa kwa bei ya jumla na rafiki. Hii ni kwa lengo la kufungua biashara hii hapo baadaye. Itapendeza kama utaweka bei za matunda hayo hapa.
Ziada:
Mahali nitakapopata brenda ya kutotumia umeme kwa ajili ya kutengenezea juisi ya matunda na bei yake.
Mahali nitakapopata vijifuko transparent vya plastiki kwaajili ya kufunikia juu sahani za matunda na gundi ya kushikishia, bila kusahau bei.
Niwatakie majukumu mema!
Tumshukuru Mama.