Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Naomba kufahamishwa masoko maarufu hapa Dar es salaam ambayo yana utajiri mkubwa wa matunda yanayouzwa kwa bei ya jumla na rafiki. Hii ni kwa lengo la kufungua biashara hii hapo baadaye. Itapendeza kama utaweka bei za matunda hayo hapa.
Ziada:
Mahali nitakapopata brenda ya kutotumia umeme kwa ajili ya kutengenezea juisi ya matunda na bei yake.
Mahali nitakapopata vijifuko transparent vya plastiki kwaajili ya kufunikia juu sahani za matunda na gundi ya kushikishia, bila kusahau bei.
Niwatakie majukumu mema!
Tumshukuru Mama.
Duh! Na hili nalo wakalitizame kwa kweliZunguka mwenyewe madukani kuuliza hizo blender na zunguka masoko ya Dar es salaam mwenyewe
Daladala ziko zinaenda kila kona
Mvivu mkubwa wewe
Soko la Mawasiliano lina ndizi, parachichi na tikiti za jumla kwa bei nafuu. Huko Vertenary na Buguruni wanauza ghali sanaMatunda nenda Buguruni au Vetenari kama unaenda Mbagala kupitiaTtazara ku
Soko la Mawasiliano lina ndizi, parachichi na tikiti za jumla kwa bei nafuu. Huko Vertenary na Buguruni wanauza ghali sana
Zipo za kukamua machungwa, embe na nanasi ila hazisagi kwenye biashara sio nzuri maana zinafaa baadhi tu ya matundaBuguruni ni maembe, mapassion na Chungwa
Hiyo blender isiyotumia umeme ipo kweli
Majibu waliyoyatoa wachangiaji kwenye hii thread usiyapuuze yote ni sahihi.Duh! Na hili nalo wakalitizame kwa kweli
Ipo ila ufanisi wake nina wasiwasi naoBuguruni ni maembe, mapassion na Chungwa
Hiyo blender isiyotumia umeme ipo kweli