M Maquiseone Member Joined Feb 24, 2008 Posts 40 Reaction score 1 Dec 9, 2009 #1 Hey wakuuu, Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General office, Pool Place, Utility place na three cubics for the net PCs. Ofisi ipo Lindi Mjini. Office ipo funished ina kila kifaa cha office ya kisasa na tender docs zinapatikana wasiliana kwa e-mail hii lijonjo@hotmail.com au maquiseone@hotmail.com Deadline ni Ijumaa ya tarehe 11
Hey wakuuu, Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General office, Pool Place, Utility place na three cubics for the net PCs. Ofisi ipo Lindi Mjini. Office ipo funished ina kila kifaa cha office ya kisasa na tender docs zinapatikana wasiliana kwa e-mail hii lijonjo@hotmail.com au maquiseone@hotmail.com Deadline ni Ijumaa ya tarehe 11
Serendipity JF-Expert Member Joined Jan 24, 2009 Posts 486 Reaction score 43 Dec 9, 2009 #2 Si upachukuwe wewe mkubwa? hau aumaind mangawira?
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Dec 9, 2009 #3 Ametoa wazo wape nafasi wenye kuongea kwa matendo sie wa maneno twende thread za wakubwa