Mahali pa kufungua car wash

Mahali pa kufungua car wash

Ba Jayden

New Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Ba ndugu zanu......
ninavifaa vya car wash full set... nahitaji mahali pa kufungua ili nianze kazi..
dedicated palce ni
victoria, masaki, oysterbay, mwenge sinza, morocco na maeneo ya karibu na hayo...

tafadhari naomba ushirikiano
 
Eneo tukutafutie, magari tukuletee. Tafuta dalali.
 
tafuta sehemu za mapumziko like bar ,hotel, nk au hata petro stations ambayo haina car wash
 
Mkuu nipe tenda nikutaftie sehemu ya uhakika hiyo ni moja ya kazi kampuni yangu inazofanya!! my company name: Tangaza Marketing Solutions(TMs)
 
Back
Top Bottom