Mahali pa kupata lunch na dinner Dodoma

Mahali pa kupata lunch na dinner Dodoma

sabuwanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
691
Reaction score
757
Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch.

Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dodoma.

Karibuni.
 
Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch
Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dom, karibuni
Chef asili
 
Kama hauna hela kama mimi nenda pale Mwanga bar msosi mzuri tu
 
Jimboni katoliki..pale unapata ya kuchoma na kukaanga na wine
 
Lunch:
Chef Asili... ila bei yao kidogo nayo imenoga
Mwambao nasikia pako vzr pia
Dinner: nenda barabara ya 8... ulizia kwa Abu Asmaa... Bitings za kumwaga
 
Back
Top Bottom