Chef asiliWakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch
Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dom, karibuni
Morena
Makulu hiyoKwa lunch nashauri "Jacquie,s cafe" karibu na Treasurer
Ajipange.Chef Asili...
Ijenga ipi mkuu maana zipo 2Nenda Ijenga kamwe hautojuta ama tukutane wapi nikupeleke.
Hii ya karibu na Uwanja wa Ndege achana ya kule juu.Ijenga ipi mkuu maana zipo 2