mahamaka

gifted mind

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
344
Reaction score
202
naomba kujuzwa tofauti kati ya hakimu mkazi na hakimu mfawidhi na hakimu wa kawaida...
 
hakimu mkazi ni hakimu yoyote mwenye shahada ya kwanza ya sheria, Hakimu mfawidhi ni kiongozi wa mahakama mfano.hakimu mkazi mfawidhi wa wilaya ya ngara,tanga etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…