Mahamoud Ali wa Djibouti ashinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) dhidi ya Raila Odinga kutoka Kenya

..Rais Samia Suluhu ameshindwa kuwashawishi viongozi wenzake wampigie kura Raila Odinga.

..enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, mgombea aliyeungwa mkono na Tanzania ilikuwa lazima ashinde.
Samia anaonewa tu.
Ametwikwa mzivo ambao hakuutarajia.
Uwezo wa kuubeba mzigo huu hana
 
Nimefurahi sana.
 
Hapa udini na francophone vimechangia kumuangusha pia unafiki wa SADC..

Raila ndiye mgombea aliyekuwa anafaa zaidi kuliko hao wengine.
Anamfaa nani!?! Hafai kabisa.
Aanzishe maandamano na huko
 
Kenya imempeleka Wassira wa Tanganyika 🀣 kwenda kugombea nafasi muhimu kama hiyo?
 
Raundi ya kwanza

Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10

Round ya pili

Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC

Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Kwa sababu ni mgomvi!
 
Haya ma umoja hayamsaidii mtanzania wala mwafrika.
Waste of money, resources and time!
 
nilitegemea Tanzania kwa ushawishi wake kimataifa ingeshawishi wajumbe wa AU wamchague Raila, kama ilikaa kimya matokeo yake ndiyo hayo
Ushawishi ni wa mtu sio nchi!
Huku kwenu mnaweza kushawishi artists tu.
 
Mwache akose. Tulikuwa tunamuita baba wa mageuzi Afrika Mashariki lakini akaja kutugeuka baada ya kuungana na Ruto.
Basi mlikuwa mmepata cheo ambacho hakustahili! Baba wa mageuzo Afrika Mashariki ni Mwai Kibaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…