LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Huyu brother anaujua Mpira wa Tz like no one else.
Anawajua wachezaji WA Tanzania.
Hakuna mtangazaji na mchambuzi wa soka la bongo anae ujua mpira WA bongo na wachezaji wa soka la bongo kama Mahamud Bin Zuberi.
Hakuna mtangazaji WA michezo bongo mwenye kumbukumbu ya mechi za vilabu mbalimbali vya bongo ikiwemo timu ya Taifa kama Mahamud Bin Zubery.
Anawajua wachezaji WA bongo na soka la bongo toka Enzi za kina Sunday Manara mpaka hawa wanao cheza sasa hivi.
Anaweza kukutajia kikosi cha Coastal Union ya Tanga iliyo Chukua Ubingwa mwaka 1988 . Anaweza kukichambua kikosi cha Yanga kilicho cheza kifua wazi shamba la Bibi mwaka ( 73?)
Anaweza kukupangia vikosi vya derby ya Tanga ( Coastal Union Vs African Sports ) kuanzia mwaka 1984,85,86,87,88,89,90,92,92,93 nakiendelea
Huyu Jamaa anajua Sana . Anastahili heshima ya kipekee
Hakika.huyu Jamaa anaipenda kazi anayo ifanya ndio maana Sports Am ya Azam Tv inabaki kuwa ndio kipindi Bora kabisa cha michezo nchini Tanzania cha wakati wote.
Mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema wakati Fulani kwamba " No matter how much do u can never beat a person who likes what he is doing".
Kama kila mtanzania kwenye kila nafasi aliyopo angekuwa ana perform kama Bin Zubery hakika Taifa letu lingekuwa mbali Sana kimaendeleo.
Big Up Sana kaka.mkubwa Mahamud Zuberi a.k.a Bin Zubery