Mahanga kaanza je ndiyo mwanzo wa ukweli kujulikana zaidi?

Atakimbilia kufuta kesi kwa madai kuwa haina manufaa kwa Taifa, si ndiyo zao maji yakiwafika shingoni. Wanabeep wakipigiwa wanazima simu

Watu wa Chama cha mafisadi ndio zao hizo kubeep; halafu wakiona mambo yanapamba moto wanaretreat. Londa na Makamba waliposhushiwa zigo la ufisadi walioufanya wilaya ya Kinondoni na Halima Mdee walikuwa mbogo, lakini baada ya kuoneshwa vielelezo alivyokuwa navyo yule binti , hawa mafisadi ilibidi wakunje mikia na waichomoe kesi pale bungeni!! Nadhani huyu fisadi Mahanga ni wa design hiyo hiyo, mambo yatakapokuwa moto ataichomoa!
 

nimekupata ndugu, ushauri mzuri, asante pia kufafanua kuwa Europe hamna masters za mwaka mmoja, nilipitiwa ndugu!

Pili nashukuru kuweka sawa maada, japo sijaona ushauri nini serikali wafanye
 

Mkuu usipindishe hoja no one says it's wrong kufanya distance edu. But from my understanding distance learning takes more yrs on the same course compared to class attending. Hebu tafadhali nitajie walau chuo kimoja Europe kinachotambulika na nchi husika kinachotoa masters au PhD ya distance learning kwa mwaka mmoja.

Halafu ni just for the food of thoughts hizi diploma mills zinatarget watu gani????
 

Watetee kisomi tu hapo kwa kuweka publication zao pamoja na copy za thesis zao ili waunyamazishe umma.
 
Ukificha ugonjwa kifo kitakusema. Ni hatari sana kuacha viongozi washirikiane na diploma mills kukebehi taifa.

Kwa wale wasiojua vizuri diploma mills zinavyokosa aibu, naomba waangalie hii moja hapa chini:

http://www.alumnaservices.co.uk/

Ona wanasema wanaweza kukupa cheti cha kuonyesha una digrii unayotaka siku 10 tu baada ya kujiandikisha. Wanasema hakuna kusoma, hakuna mitihani.

 

Safi sana mkuu Moshi at least some pple will understand wht does this all mean ni aibu na inatia kichefuchefu kwa kiongozi kustand out from the crowd boasting you have a PhD of ths sort.

And well these diploma mills did flourish much just in alignment with the internet age. The information age. In my strong personal opinion anyone going for these sort of degrees ni limbukeni, uelewa mdogo na pia hopeless oppurtunist. Do I deserve a leader of that kind????????
 



  • No Studying!
  • No Examinations!
  • No Classes!
  • No Waiting!
  • No Enormous Fees!
  • 100% Legal Loophole!
  • Verifiable Qualifications!
  • Discretion Assured


Waberoya:

Well kwa sababu hakuna standard duration na nnadhani hata cost ya kupata PhD basi the one advertized above haina noma????




Jamaa wanajihami hapa!!!!!!

No Diploma Mills - GUARANTEED
We do NOT supply degrees issued by any of the 'well known'
life experience 'Universities' that advertise on the internet.
When you receive your degree and search for the name of the issuing University, we guarantee it will not appear on any list of 'diploma mills'. This is an obvious benefit, as any employer searching for the name of your University will find only the University's own website and not adverts offering degrees for money!
You can imagine how embarrassing for you it would be otherwise.
 
nimekupata ndugu, ushauri mzuri, asante pia kufafanua kuwa Europe hamna masters za mwaka mmoja, nilipitiwa ndugu!

Pili nashukuru kuweka sawa maada, japo sijaona ushauri nini serikali wafanye
ulaya hasa Uingereza MASTERS ni mwaka mmoja tu, ila Distance Learning hadi miaka 10 tizama MBA kwenye OPEN UNIVERSITY hiki ni katika vyuo makini duniani.www.open.ac.uk
 
Mahanga ni kweli amesoma chuo ambacho hakitambuliwi. Vyuo vya muundo huu viko vingi sana,hata kama mtu unataka degree within two weeks unapata. Kama huamini niambie nikutumie link uone.

Kama mtindo huu utaacha uendelee itakuwa ni hatari kwani wengine ni wahadhiri wa vyuo vikuu, wengine ni mawaziri wanatuongozea nchi,wengine ni watunga sheria wetu nk.
 



ulaya hasa Uingereza MASTERS ni mwaka mmoja tu, ila Distance Learning hadi miaka 10 tizama MBA kwenye OPEN UNIVERSITY hiki ni katika vyuo makini duniani.www.open.ac.uk

WAHESHIMIWA HAPO JUU NAONA WOTE MKO SAHIHI, SWALA LANGU NI JE HUYU MAHANGA TUTAMUHUKUMU KWA SHERIA IPI HAPA TANZANIA, KAMA HAKUNA SHERIA INAYOHUSU HAO MAMBO JE TUFANYE NINI SASA, MAANA IKIWA TUNAJADILI HAWA WATU KILA SIKU, NA WENGINE WANAZALIWA KESHO, BASI THREAD ZOTE HUMU ZITAKUWA ZINATAJA MAJINA YA WATU.

Distance learning nazo zimetofautiana, inategemea na programme, lakini kwa dunia ya sasa lolote lile linawezekana inategema na shida yako wewe.

Nimejaribu kuongelea mifumo ya inayosababisha hili tatizo naona wote, mmejaa upande wa aidha kupinga au kubisha, ila sio kutatua tatizo.

mliopost distance learning mwanzoni, mmebadilika na kusema iti will take more years, ili tumbane huyu Mahanga lazima tuwe pia na vithibitisho, vipi kuhusu shule za 'self pacing' but yet are distance learning

Akienda mahakamani na akasema nimesoma distance learning by self pacing, so time does not matter tutamfanya nini??

Hawa watu wan vyeti vizuri na wananyima nafasi za wale walio na vyeti halali, lakini still badala ya kuendelea kugombana na kubishana, tunaishauri nini serikali??

maana ugonjwa huu hupo, utakuwepo na sio kwa viongozi tu, uko kwa wengi.May be I can only be sure na sisi walimu wa UDSM kuwa jamaa wako makini, mzumbe mlisikia wenyewe

Hapo juu sijaona ushauri bado , na this is a chance for great thinkers,focus, focus on solution

HAO TUNAOWAITA MALIMBUKENI KWA KUSOMA HIZI DEGREES, NDIYO WANAOTANUA KATIKA HII DUNIA, I just need solution to get rid of them!
 
Kama mtindo huu utaacha uendelee itakuwa ni hatari kwani wengine ni wahadhiri wa vyuo vikuu, wengine ni mawaziri wanatuongozea nchi,wengine ni watunga sheria wetu nk.

Siyo UDSM baba! labda vyuo vingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…