ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Bunge tafuteni mwekezaji from USASwala la "TANESCO" lipo Halmashauri Kuu Ya Taifa CCM tunalijadili, tunawaza kuwapa wawekezaji tokea "INDIA" au "CHINA".
Jeshi la Polisi tumeona kuna fursa ya kuweza kutafuta wawekezaji tokea "VIETNAM" au "AFGHANISTAN".
Wananchi msiwe na papara kwa hilo, la bandari tumeshawapeleka Dubai tayari!
Huwez sikilizwa maan hawajawah kujali kuhusu watanzania, utaimbiwa wimbo wa matengenezo au maji yamekaukaaa 🤣🤣🤣🤣Kwanza nianze Kusema kuna Mgao wa umeme. Narudia tena kuna Mgao wa umeme.
Napenda kuhoji kwanini Chande Maharage hajatangaza huu mgao wa umeme, ni mara chache mno tunakuwa na mgao wa umeme mwezi wa saba, tunategemea kuwa na mgao kuanzia mwezi wa 10 maana ndo kiangazi kikali kinaanza.
Huyu Maharage mzee wa mifumo ya TEHAMA amefeli kabisa, najua hatuwezi kumlaumu lakini basi japo atupe taarifa kuhusu huu mgao Ili tujipange.
Nasema Kuna Mgao wa umeme, kama unabisha muulize mpenzi wako wa TANESCO.