mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Magufuli akudanganya watu hiyo kazi kaifanya kwa miaka 5 atukisikia tanesco wakilialia,tena mpango wa tenesco ilikuwa wakimaliza kuunganisha vijijini 3,000 walivyokuwa wamebakiza, ilikuwa ni kila nyumba inaunganishiwa umeme bure wewe unaanza kulipa bili kama wanavyofanya dawasco, Sasahivi tanesco wameingia majizi wanaanza kusema 27,000 elfu ni ndogo,Wamulize waziri aliyekuwepo alifanyaje na akafanikiwa.Mwinyi kule Zanzibar kapiga marufuku mwananchi kuuziwa nguzo.zanzibar wameweza huku bara kinashindikana nini?Wizi mtupuKama POMBE. Alikuwa anadanganya wajinga wenzake na leo wanaamini kwamba ati kuunganisha umeme ni 27000 tu.
Hovyoooo
Kama ulishawahi kukutana na watu wapumbavu.Magufuri akudanganya watu hiyo kazi kaifanya kwa miaka 5 atukisikia tanesco wakilialia,tena mpango wa tenesco ilikuwa wakimaliza kuunganisha vijijini 3,000 walivyokuwa wamebakiza, ilikuwa ni kila nyumba inaunganishiwa umeme bure wewe unaanza kulipa bili kama wanavyofanya dawasco, Sasahivi tanesco wameingia majizi wanaanza kusema 27,000 elfu ni ndogo,Wamulize waziri aliyekuwepo alifanyaje na akafanikiwa.Mwinyi kule Zanzibar kapiga marufuku mwananchi kuuziwa nguzo.zanzibar wameweza huku bara kinashindikana nini?Wizi mtupu
Bongo Daresalama wale waigizani waleandaga wapi... kina DudeLeo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini
Mama kapiga sarakasiMatapeli wakati wa kampeni vs baada ya kuingia Ikulu:
Wakati wa kampeni👇
View attachment 2128824Baada ya kuingia Ikulu👇😁😁😁View attachment 2128825
Kule ng 'ambo ya pili nguzo hazilipiwi na hakuna misitu ya nguzo wala viwandaLeo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!
Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?
Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?
Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.
Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Anadanganya wajinga wenzake?ameunganisha kwa miaka mitatu hivi na bila kufa huu mjadala usingekuwapo, JPM alikuwa na akili sana na hiyo ni hasara kwa nchi hii,unanunuaje nguzo zinabaki kuwa Mali ya muuzaji Kama siyo uhuni tu.Kama POMBE. Alikuwa anadanganya wajinga wenzake na leo wanaamini kwamba ati kuunganisha umeme ni 27000 tu.
Hovyoooo
dah[emoji1787][emoji1787]mzee achidachi tena bah!!Chande yuko sahihi, ukitaka wa 27k nenda Ng'apa
nna REA yangu hapo, kitambo sana 🙂dah[emoji1787][emoji1787]mzee achidachi tena bah!!
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Inakuwaje hasara wakati tunaendelea kulipia umeme.Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Kuzalisha na kugawa umeme ni gharama. Kuunganisha umeme ni gharama pia.Naomba majibu haya :-
Nguzo ni mali ya nani?
Luku / Mita ni mali ya nani?
Tanesco ni Profit au Business oriented?
Je hawajui kwamba pesa watakusanya zaidi wakiwa na wateja wengi zaidi ?. Umeme sio kama mchele unachota kadri unavyotaka ukiwa na megawatts za kutosha (unazalisha inabidi zitumike) unless otherwise hakuna sababu ya kuongeza ma-Megawatt ya kutosha iwapo mahitaji sio makubwa hivyo.
Tukimaliza Bwawa la Nyerere (if ever....) hizo Megawatt tutazitumia wapi?
Walishapata faida lini kabla hata bei tshs 27000?Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Tena ukikata waya unapewa uhujumu uchumiNi lini nguzo na mita zikawa mali za mteja? Tukunali tukatae tanesco na serikali inakwepa majukumu yake, yena ilipaswa iwaunganishie watu umeme bure.