Maharage ya kuchemsha na viungo vs maharage ya kuunga

Maharage ya kuchemsha na viungo vs maharage ya kuunga

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
helo wapishi
ni maharage yapi yanakuwa matamu? ya kuunga au ya kuchemshia viungo moja kwa moja?
 
Mpishi mzuri tu ila sijawahi kuona maharagwe yanachemshiwa na viungo labda yawe yameisha pikwa kwanza yakaiva ila sio kuanzia mwanzo yakiwa mabichi
 
Unapoanza kupika tu unachukua viungo unaweka vyote vinaanza kuchemka kwa pamoja hadi maharge yanaiva
 
Back
Top Bottom