Maharage ya kuchemsha na viungo vs maharage ya kuunga

Chambua Maharage, osha bandika jikoni....
Yakianza kuiva ile kulainika, katakata vitunguu, carrot,hoho viweke vyote kwenye maharage, mafuta kidogo sana na Chumvi.
Funika viungo vichemke hadi viive sana huo utamu wake mmmh
yakirukaruka ndio yameiva au bado? Leo mama watoto hayupo nataka kutoa kitu.
 
Chambua Maharage, osha bandika jikoni....
Yakianza kuiva ile kulainika, katakata vitunguu, carrot,hoho viweke vyote kwenye maharage, mafuta kidogo sana na Chumvi.
Funika viungo vichemke hadi viive sana huo utamu wake mmmh
nyanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…