Maharage...

Mlasani

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
113
Reaction score
28
Wana JF habarini za mchana, natumai mu wazima. Napenda kuuliza ni nini madhara ya kula mlo wenye maharage kila siku. Ahsanteni
 
We MAKANJAMNA kuwa na adabu! Why arguing like a fool? Mjinga utamjua tu duh, kama huna la kuchangia take your time, dont think kila thread inayowekwa hapa ni utani. We are serious. Pole sana kama huna la kufanya kazi ni kutoa NON-SENSE COMMENTS! Shame on you
 
Wana JF habarini za mchana, natumai mu wazima. Napenda kuuliza ni nini madhara ya kula mlo wenye maharage kila siku. Ahsanteni
  • Hakuna madhala utakayopata.
  • Ila maharage yana faida mara nne (4) zaidi ukilinganisha na nyama.
  • Inashauriwa maharage yaliwa kwa wali, ugali au chapati.
Pitia hizi nukuu.


  • Hizi ni baadhi ya faida za maharage.

Chanzo cha picha na nukuu: Health Benefits of Beans
 
Ndo tatizo lenu nyiee.... Yaani mnaweka posts halafu mnataka muambiwe yale mnayotaka kuyasikia... Weka post halafu tegemea lolote toka kwa yeyote

 
huo ushauri wa kula maharagwe na ugali, wali au chapati mbona sioni kwoti au au reference ? :help:
 
huo ushauri wa kula maharagwe na ugali, wali au chapati mbona sioni kwoti au au reference ? :help:
To make a complete protein they advise to combine beans with one of the following:


  • brown rice
  • corn
  • nuts
  • seeds
  • wheat
  • Nimetoa source iliuweze kuipitia na kuona ambavyo sija_quote
  • Sikutaka kumpoteza muanzisha mada kwa kumpa mifano ambayo haitaweza kumsaidia. Haya sasa atumie maharage na "brown rice" , hapa sijui dukani ataenda omba mchele wa.......
Ndugu karibu.
 
huwa naskia kuwa huadhiri uwezo wa kuona ukiyala kwa mazoea...naomba udhibitisho kwa mwenye kufaham kuhusu hili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…