Wanawake inabidi wakubali moja.
A.Kuendelea kutolewa mahari na kuwa subservient kwa wanaume (wao wanaolewa, wanatolewa mahari, hawawezi kuwa sawa na wanaume).
B.Kukataa mahari na kudai usawa na wanaume.
Hawawezi kutaka vyote viwili kwa pamoja, la sivyo mahari itolewe na pande zote, kuwe na exchange of gifts tu.
What about wanawake kuendelea kudai mahari ambayo si mahari ya mali.
Ukidaiwa shairi au insha utasema mwanamke aendelee kuwa subservient kwa mwanamme kisa kaandikiwa shairi?
Kwa nini muwafunge wanawake katika options hizo mbili wakati kuna option ya tatu ambayo wanaweza kwenda nayo?
What about wanawake kuendelea kudai mahari ambayo si mahari ya mali.
Ukidaiwa shairi au insha utasema mwanamke aendelee kuwa subservient kwa mwanamme kisa kaandikiwa shairi?
Wao wadai kupewa halafu wao watatoa nini? Penzi la milele?
Nitahama kwetu na kuacha wazazi wangu, niwe wako wa milele
Haba? :juggle:
Suala si nini kinadaiwa, bali nani ana haki ya kudai.
As long as mwanamke ana haki ya kumdai mwanamme bila ya mwanamme kuwa na haki ya kumdai mwanamke, mwanamke kashachukua bila mwanamme kuchukua.Itabidi mwanamme naye atake kusawazisha.
Ndipo hapo mtu anaanza "Mwanamke mwenyewe nimekutungia shairi, nichotee maji huko"
Tayari mtu kaona ana haki ya kumtuma mwenzake for the price of a song.
Swali ni, kwa nini mwanamke atake kutungiwa shairi yeye?
Kuna wengine unaweza kuwapa choice ya mahari ya shairi na milioni nne wakaona milioni nne rahisi hivoo.
Tatizo la kweli hapa ni kwamba ndoa imekuwa over institutionalized.
Not only that, but also commercialized. It has become an opportunity for people to make money.
Angalia tu hata michango ya harusi. Hupewi mwaliko kama hujatoa mchango. Na michango yenyewe inawekewa minimum amount....
Mwacha asili kafiri. Unazungumzia mwanamke huyo wa kupewa milioni nne labda awe anajua mila na maadili, sasa moja ya mila ndo hiyo. Mwanamke kupewa haki ya kudai mahari.
Mwanamke na mwanamme si sawa, wewe mwanamme umepewa haki ya kuwa kiongozi wa familia. Au na hiyo hamuitaki?
Usawa huu hamna kuoa babake.
Tatizo la kweli hapa ni kwamba ndoa imekuwa over institutionalized.
Na kama kitu chochote kinachokuwa over institutionalized, inapoteza natural flavor, inaongeza bureaucracy.
Na kama vitu vingi vinavyoongeza bureaucracy, inatoa mianya ya corruption.
Mojawapo ndo hii ya mtu kujipangia mahari mwenyewe bila hata breakdown.
Milioni nne wewe bikira wa miaka 18 mwenye degree ya uchumi na ujuaye mila zenu zote?
Hata mimi ntahama kwetu (kwanza ntakuwa nilishahama zamani) na kuacha wazazi wangu, niwe wako wa milele daima. Haba?
wana Jf si kama siwezi afford that money ila nilikua naona kiasi ni kikubwa kwa sababu nilishahudhulia harusi ya rafiki yangu miaka kama saba hivi jamaa alioa kwa tsh 70000!!sasa nikaona labda mahari inakua kubwa kutokana na Elimu ya muolewaji?
Kwa hiyo ndo unataka kusema yupo mwenye haki ya kudai milioni nne?
Nakubaliana na wewe kuwa baadhi ya watu wanatumia mwanya wa mahari kujinufaisha lakini haina maana kuwa mila hiyo ni mbaya moja kwa moja.
Wanaofanya mahari kwa kiasi, hawana kosa hata moja. Ni njia moja wapo nzuri ya kukutana familia mbili mkajuana walau kwa undani kidogo kabla watoto wenu hawajaanza maisha yao pamoja.
Tunahamia wapi? Kwako au kwangu? Nani head of the family?
Tunahamia wapi? Kwako au kwangu? Nani head of the family?
Sasa uwezo unao, tatizo ni nini?
Punguzeni ubahili. Princess wa Spain aliutoa mji mzima wa Bombay kwa Mfalme wa Uingereza kama mahari, itakuwa milioni nne hata gari hununui!