Mahari inawatesa wengii

binti yangu bila laki sita simtoi

nimlishe miaka yote we umgegede tu
 
binti yangu bila laki sita simtoi

nimlishe miaka yote we umgegede tu

Yaani wewe umekuja humu duniani kugeuza wanadamu wenzio mifugo yako ya kukuingizia kipato?

Yaani jukumu lako la kulea ambalo ni lazima na wala sio ombi unataka walau uje ulipwe?Nyie ndio mnageuza watoto kama mali.

Watoto wako ni watu binafsi na huwadai chochote,hawako chini yako,ni watu sawa na wewe,huna mamlaka yoyote ya kuwageuza "mali" zako za uzalishaji.

Huzai,kusomesha,kulisha na kutibia kama favor unatoa,ni jukumu lako na usipolifanya ufungwe uozee jela.

Nachukia wazazi wenye mentality ya kijima namna hii,kwamba mtoto anawajibu wa kurudisha favor kwa wazazi wake,ni lazima na sio ombi,huo ni uonevu,yeye mtoto wako ataleaje watoto wake na yeye?Typical African parents,wanyonyaji wakubwa.

Kama mzazi timiza wajibu wako hapa duniani,jiwekee hela za uzeeni,usiwageuze wanadamu wengine waanze kuteseka juu yako badala ya kushughulikia maisha yao na ya vizazi vyao vifatavyo..Huo utegemezi na unyonyaji wa kiuzazi ni ujinga unatakiwa uondoke Africa
 
Kama huwez kutoa mahar waachie wenzio...hujalazimishwa......BTW kuna wazaz mna sifa mahar kubwa ka mtu anataka kuinunua IPP duuu
 
wakikaza sana mahari, torosha weka geto. kwani ana TV ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…