Mahari ni Dola milioni ishirini na sita $ 26,000,000

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
[TABLE="width: 491"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Mahari ni Dola milioni ishirini na sita $ 26,000,000[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
[TD]

Bwana harusi na bibi harusi wanameremeta![/TD]
[TD]
Kila mtu na mtindo wake wa maisha, hilo limedhihirishwa na tukio la ndoa ya aina yake kwa nchi maskini kama Sudan.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Mji mkuu wa Sudan, Khartoum umeshuhudia mjadala mkali baina ya wakazi wake baada ya kufungwa ndoa ya mahari dola za Kimarekani milioni 26!! Ndoa hiyo imefungwa katika ya bibi harusi Amaaniyu Musa Hilali raia wa Sudani na bwana harusi Idrisa Debii Rais wa Chad.

Ndoa hiyo imesimamiwa na Rais wa Sudan bwana Omar Al-Bashiir kwaq niaba ya baba wa bibi harusi. Na upande wa bwana harusi (mtoa mahari ya mimilionea) aliwakilishwa na jama anayefahamika kwa jina la Abdallah Yaanqi. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
nchi yako hii mbona masikini na bao inawatu wenye pesa nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…