Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililoandaliwa na Global Publishers.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.





 
Sawa sanchi tumekuelewa .


Wamawake wanaotakaga maali kubwa ,,huwa wadumu ktk ndoa sababu wazo lake nikuolewa Mara kwamara ili atolewe mahali pia Mara kwa Mara !!.

Nachofurahia nikwamba ,, mwisho wasiku hawaolewagi ,,anakuja kuitaji mwanamme kwa maali ya japo laki tano,,, lkn bado anakosa ,sababu kuu mbili :-
1--- hakuna mwanamme anayependa makomboo yalochacha (kuna makombo yako vizur).
2-- Ngozi inakua ishavuta ( siwez oa Mzee ).

Nakwahuo mwili wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , niwaombee wana JF uzima na afya ,,tukutane wote pamoja baada ya miaka 7 ijayo ..** Sanchoka atakua kweli ni "Saa nishachoka , mwanamme anayetaka mtoto aje nmzalie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..nabado hatutaenda ng'ooooo ..ye ngoja saiz atutese.
 
Mwanamke akiwa mzuri alafu unaitaji kweli umuoe ,,akawa analinga sanaaa ,, akawa anachagua sana maali ,,, Wewe usiumie wala nn.

Hawa viumbe thaman zao zinabadilika sana kulingana na Umri unavyokwenda .

Leo yupo 18--26 anajiona Wa million 20 ....

Tazama maajabu ya dunia ...namna dunia ambavyo haipo fair.

Baada ya miaka 10 ijayo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…