Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Nimeshangaa huyo mwanamke anawezaje kuwa model!! Au labda sijaelewa.. Unatoa 20 million afu unakuta mrembo hata kupika hajui dadekii
 
Huyo hata bure siweki ndani.
Namhurumiaa atakayeoa hio presha
 
Hata sio kwamba wameshindanishwa wanawake nchi nzima (ni tuzo za global publisher hivyo ni dar pekee) je angeshinda miss tz si kumpiga picha tu angeweka ada
 
Si akacheze zile muvi za ---- hko mbele tujue moja

Ova
 
Mie hata 30 nitatoa. Muhimu awe ananipa TIGO tu.

Mana tako kama lile Bila ya kula fruit unapunwa aisee
 
Bila shaka ataendelea kupanda dau
Akifika 40 by age nadhani bei yake itakua million 100.

Ikifika milioni 100 mnistue ntachukua mkopo Crdb nimuoe
 
Yaani huyo ameshajijua kuwa haoleki ndio maana anaropoka ropoka. Toka lini mtu anajipangia mahali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…