Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Aahhh... Kumamake walai, anadhani uanamke ni hyo minyama uzembe yake, wapo wanawake wanadeserve hyo mahari..

Si bora nichukue kimwasu chenye kujitambua, kujiheshimu na kujithamini halaf hiyo milioni 20 nimpeleke akafanyiwe operation nimtie shape ya niki minaji, najua hapa shape ninayo na mke ninae, kuliko kuitupa m20 yangu kwenye shape ambako hakuna mke...
 
namwona ni mwanamke amevimba vimba tuu. cjui nyie uzuri ni nn.
 
Life span ya binti si zaidi ya 15 years tangu ajue kujikadiria bei.
 
Nimesoma coment zoote wadau nimezielewa ila kuna maswali kidogo kichwani kwangu huyu mbona simuelewi ni mtu au ntu na huo mguu au nguu na hiyo milion 20 ni maali au mahari naona kama kinyago cha mwenge pale sijui ni bangi hizi au macho yangu msaada please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…