Mahari yalianzia wapi?, alipewa nani?, kwa idhini ya nani?

Mahari yalianzia wapi?, alipewa nani?, kwa idhini ya nani?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute,


Kama kuna vitu vya kujiuliza ni suala hili la mahari, yalianzia kwa nani?


Kama ni kwa adamu na hawa, nani ndo alopewa mahari?, je aloiidhinisha hiyo ndoa?

Acha porojo njoo na majibu yenye uthibitisho.

Karibuni
 
Ivi ni
[emoji117]Mahari ?
[emoji117]Mahali?
[emoji117]Maali ?
[emoji117]Maari ?.

Wataalam Wa Lugha nisaidieni !!.
Mimi natumiaga neno "Maali".[emoji23]
 
Leta hoja
Duuh mnisaidie neno sahihi Kisha iyo hoja ifuatie , au unadhan nmeuliza kukuchallenge ?? .. Nikwamba sijui neno sahihi hapo ,,nakila siku humu nazidi kuona kila MTU anatamka lake ,so nashindwa kujua nichukue lipi ?

Bila shaka bado nipo ndani ya Mada!!.
 
Salute,


Kama kuna vitu vya kujiuliza ni suala hili la mahari, yalianzia kwa nani?


Kama ni kwa adamu na hawa, nani ndo alopewa mahari?, je aloiidhinisha hiyo ndoa?

Acha porojo njoo na majibu yenye uthibitisho.

Karibuni
Adamu na Hawa ni hadithi tu. Hawakuwahi kuwepo.
 
Isaka mwana wa Abram alimpenda Rachel, mahari yake aliambiwa atumike miaka saba ili apate mke. Akatumika. Akapewa Dada yake Kwa kuwa kibila hawezi olewa mkubwa akaachwa mdogo. Alipogundua siyo Rachel akagoma. Akaambiwa atumike tena miaka saba mingine ndo ampate mke. Jumla akaitumikia familiya miaka 14 ndo akapewa mke. Je hiyo siyo mahari. Hapo ni kabla ya Christ.

..... Leo nimeenda kanisani, Bible imenikaa.
 
Mwanzo 30:20
[20]Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni.
Kitabu gani?, agano lipi?
 
Back
Top Bottom