Duuh mnisaidie neno sahihi Kisha iyo hoja ifuatie , au unadhan nmeuliza kukuchallenge ?? .. Nikwamba sijui neno sahihi hapo ,,nakila siku humu nazidi kuona kila MTU anatamka lake ,so nashindwa kujua nichukue lipi ?Leta hoja
Adamu na Hawa ni hadithi tu. Hawakuwahi kuwepo.Salute,
Kama kuna vitu vya kujiuliza ni suala hili la mahari, yalianzia kwa nani?
Kama ni kwa adamu na hawa, nani ndo alopewa mahari?, je aloiidhinisha hiyo ndoa?
Acha porojo njoo na majibu yenye uthibitisho.
Karibuni
MAHARIDuuh mnisaidie neno sahihi Kisha iyo hoja ifuatie , au unadhan nmeuliza kukuchallenge ?? .. Nikwamba sijui neno sahihi hapo ,,nakila siku humu nazidi kuona kila MTU anatamka lake ,so nashindwa kujua nichukue lipi ?
Bila shaka bado nipo ndani ya Mada!!.
Nilitokana na wazazi wangu.Wewe ulitokana na nini?
Kama tupo kwenye mtihani darasa la nne vileIvi ni
[emoji117]Mahari ?
[emoji117]Mahali?
[emoji117]Maali ?
[emoji117]Maari ?.
Wataalam Wa Lugha nisaidieni !!.
Mimi natumiaga neno "Maali".[emoji23]
Weee acha mkuuKama tupo kwenye mtihani darasa la nne vile
Chagua jibu sahihi